JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Waandishi wa Habari wengi ni VILAZAMeneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kutumia maneno zaidi ,ili wananchi wasije pewa matokeo tofauti wakati wa uchaguzi.
Inj.Kisaka anaeleza haya katika mkutano wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi na waandishi wa Habari ,kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: ITV
Hii ni tangu enzi na enzi. Form 4A vichwa tupu.......wanasoma masomo ya sayansi.Waandishi wa Habari wengi ni VILAZA
Unateseka sana moyoni. Kweli Mungu ni mkubwa.Hii ni tangu enzi na enzi. Form 4A vichwa tupu.......wanasoma masomo ya sayansi.
Form 4B vilaza wa HGL +other art combs.
Wengi wamejikita kwenye rushwa tupuWaandishi wa Habari wengi ni VILAZA
Weka koma kwenye tarakimu ya aina hiyo. Kinyume na hapo hiyo ni namba ya simu, au serial number ambayo mtu anaweza kusoma kwa tarakimu 2² au 3³.70080056 tafuta hata mbunge asome hivi uone miujiza
Tatizo Waandishi wa Habari wengi zaidi ni Chawa, wao kazi yao wanayoiweza ni Kusifu na Kuabudu watawala! Basi.Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kutumia maneno zaidi ,ili wananchi wasije pewa matokeo tofauti wakati wa uchaguzi.
Inj.Kisaka anaeleza haya katika mkutano wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi na waandishi wa Habari ,kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: ITV