Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Ungefanya comparison na viwanja vingine kama vile Songwe Airport na Bukoba Airport ndio tungejua. Halafu, nani ajuaye ya kesho?
Kwa masuala ya kesho Ilikuwa kutenga tu eneo Ili hiyo kesho ikifika uwanja ujengwe!Kupanga ni kuchagua!
 
Uwanja umejengwa Kwa hadhi ya viwanja vya kimataifa!Au nalo huelewi!
Mkuu acha uongo basi kama hujui usijidharirishe hapa JF. Hadhi ya kimataifa ni huduma na sio uwanja ulivyojengwa. Soma ICAO Annex 9 na 14 kisharudi hapa. Acha jana janja
 
Mkuu acha uongo basi kama hujui usijidharirishe hapa JF. Hadhi ya kimataifa ni huduma na sio uwanja ulivyojengwa. Soma ICAO Annex 9 na 14 kisharudi hapa. Acha jana janja
Acha upuuzi,uwanja umekidhi viwango vya kimataifa(nazungumzia run way)
 
Acha upuuzi,uwanja umekidhi viwango vya kimataifa(nazungumzia run way)
Urefu wa runway sio kigezo kuwa International Airport mkuu. Jifunze usilojua. Acha uongo. Vipi uwanja wa Nduli wa Iringa? Soma hizo Annex za ICAO. International airport ni uwezo wa kuhudumia International passengers sio ndege kubwa mkuu. Runway can be short but the airport is designated as International Airport. Catch word hapo ni designated. Hesabu huwezi, definition ya International Airport huwezi, criteria za route planning hujui, ebu sema linguine mkuu
 
Hao abiria anawatoa wapi?
Akili ya kuhoji hili ni akili ya kipumbavu, ufinyu wa kufikiri, na kukosa kutembea.

Geita ni mkoa, na ni mkoa wa wachimbaji, wafanyabiashara na wakulima, Kwa nini mtu ashukie Mwanza na kuanza kwenda kupanga foreni ya ferry kuvuka halafu aende Geita tena badala ya kushukia Chato na kwenda mjini kwake.

Akili zenu wengineo zipogo kwenye makanyagio
 
Kufika international standard,Cha kwanza kabisa ni run way!Sasa international passengers wataenda Chato kufanya nini?
Runway yenye standards hizo,kuhudumia bomberdier ni matumizi mabaya ya miundombinu hiyo!
 
Hesabu hazidanganyi, abiria 250 kwa mwezi ni wastani wa abiria 8 kwa siku. Nini faida yake kulinganisha na uwekezaji?
 
Kufika international standard,Cha kwanza kabisa ni run way!Sasa international passengers wataenda Chato kufanya nini?
Runway yenye standards hizo,kuhudumia bomberdier ni matumizi mabaya ya miundombinu hiyo!
Siyo matumizi mabaya ya miundominu hiyo, bali matumizi mabaya ya rasilimali chache zilizopo kujenga huo uwanja. Ni heri wangejenga soko la machinga kwa fraction ya hizo pesa.
 
Ukifuatilia kwa undani hata hao abiria 250 unaweza kuta 200 final destination yao ni Muleba, Geita town na Sengerema. Wanaoishia Chato kwa mwezi ni 50

Kwa hiyo unaweza kuta kwa siku abiria ambao ni destined Chato per se wakawa 2 tu (8/5= 1.6)
 
Hii nchi tubadilishane na wajerumani, sisi twende kwao na wao waje hapa kwetu. Baada ya miaka mitano sisi turudi TZ na wao waende Ujerumani.

Tofauti ya Tanzania na Ujerumani itakuwa sio kama hii ya sasa. Tunajua sana kulalamika hovyo magazetini na mitandaoni kama muingereza aliyetutawala lakini ubunifu wetu ni zero kabisa.

Tuna kila aina ya fursa za kutosha kuufanya huo uwanja wa ndege ukatumika lakini tumekalia siasa za CCM na CDM.
 
Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Halafu kuna WAPUMBAVU humu wanasema eti Tanzania hautakuja kupata Rais bora na mzalendo kama Mwendazake.

Yaani Magufuli amejenga International Airport bila idhini ya Bunge, halafu akatumia Kampuni ya Mayanga Construction (Mmiliki wa Mayanga ni Mume mwenza na Magufuli mwenyewe alikuwa na hisa zake) kujenga kiwanja hicho bila kushindanisha Zabuni kama Sheria ya Manunuzi inavyotaka.

Huyu mtu mwizi, mwongo na mbinafsi wa hali ya juu ndiyo WAPUMBAVU wanamwita shujaa wa Afrika?
 

Usipaniki mkuu. Uwanja wa chato umejengwa kijijini. Kama ni kweli marehemu alikuwa hana choyo.uwanja angeujenga makao makuu ya mkoa. Geita mjini. Hapa pana shughuli zote za uzalishaji na kuna idadi ya watu wanaoweza kuutumia uwanja wa ndege kimaslahi.
Raia wengi wanaohitaji kusafiri kwa kutumia ndege husafiri hadi Mwanza na siyo kwenda Chato.
 
Chato airport. Kwani ndege ikifika from Mwanza to chato gharama ya mafuta ni sh ngapi?
 
250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
Wiki nzima unasubiria ndege ili utue cattle!! Hopefully huyo meneja anatetea kitumbua chake ila ni full hasara
 
Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Ni zaidi ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…