Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Uwanja umejengwa Kwa hadhi ya viwanja vya kimataifa!Au nalo huelewi!Chato haijawahi kuwa International Airport. Au ndio ile hesabu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja umejengwa Kwa hadhi ya viwanja vya kimataifa!Au nalo huelewi!Chato haijawahi kuwa International Airport. Au ndio ile hesabu yako
Kwa masuala ya kesho Ilikuwa kutenga tu eneo Ili hiyo kesho ikifika uwanja ujengwe!Kupanga ni kuchagua!Ungefanya comparison na viwanja vingine kama vile Songwe Airport na Bukoba Airport ndio tungejua. Halafu, nani ajuaye ya kesho?
Mkuu acha uongo basi kama hujui usijidharirishe hapa JF. Hadhi ya kimataifa ni huduma na sio uwanja ulivyojengwa. Soma ICAO Annex 9 na 14 kisharudi hapa. Acha jana janjaUwanja umejengwa Kwa hadhi ya viwanja vya kimataifa!Au nalo huelewi!
Acha upuuzi,uwanja umekidhi viwango vya kimataifa(nazungumzia run way)Mkuu acha uongo basi kama hujui usijidharirishe hapa JF. Hadhi ya kimataifa ni huduma na sio uwanja ulivyojengwa. Soma ICAO Annex 9 na 14 kisharudi hapa. Acha jana janja
Duh! Wewe ni bonge la planner. Unatakiwa ukafanye kazi World Bank!Kwa masuala ya kesho Ilikuwa kutenga tu eneo Ili hiyo kesho ikifika uwanja ujengwe!Kupanga ni kuchagua!
Urefu wa runway sio kigezo kuwa International Airport mkuu. Jifunze usilojua. Acha uongo. Vipi uwanja wa Nduli wa Iringa? Soma hizo Annex za ICAO. International airport ni uwezo wa kuhudumia International passengers sio ndege kubwa mkuu. Runway can be short but the airport is designated as International Airport. Catch word hapo ni designated. Hesabu huwezi, definition ya International Airport huwezi, criteria za route planning hujui, ebu sema linguine mkuuAcha upuuzi,uwanja umekidhi viwango vya kimataifa(nazungumzia run way)
Akili ya kuhoji hili ni akili ya kipumbavu, ufinyu wa kufikiri, na kukosa kutembea.Hao abiria anawatoa wapi?
Kufika international standard,Cha kwanza kabisa ni run way!Sasa international passengers wataenda Chato kufanya nini?Urefu wa runway sio kigezo kuwa International Airport mkuu. Jifunze usilojua. Acha uongo. Vipi uwanja wa Nduli wa Iringa? Soma hizo Annex za ICAO. International airport ni uwezo wa kuhudumia International passengers sio ndege kubwa mkuu. Runway can be short but the airport is designated as International Airport. Catch word hapo ni designated. Hesabu huwezi, definition ya International Airport huwezi, criteria za route planning hujui, ebu sema linguine mkuu
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Siyo matumizi mabaya ya miundominu hiyo, bali matumizi mabaya ya rasilimali chache zilizopo kujenga huo uwanja. Ni heri wangejenga soko la machinga kwa fraction ya hizo pesa.Kufika international standard,Cha kwanza kabisa ni run way!Sasa international passengers wataenda Chato kufanya nini?
Runway yenye standards hizo,kuhudumia bomberdier ni matumizi mabaya ya miundombinu hiyo!
Ukifuatilia kwa undani hata hao abiria 250 unaweza kuta 200 final destination yao ni Muleba, Geita town na Sengerema. Wanaoishia Chato kwa mwezi ni 50Sasa inakuwaje abiria 250 kwa mwezi? Hao wasukuma wakipanda ndege watatua mwanza. Mwanza airport ni karibu na Mwanza yenyewe,Geita, Simiyu na Shinyanga.
Usije ukajidanganya kuwa ukienda kanda ya ziwa utatumia Chato airport.
Tunaoenda kanda ya ziwa tunatumia Mwanza airport...labda uwe na shughuli Chato.
Kutoka Geita mjini hadi mwanza ni karibu kuliko kutoka Geita mjini kwenda Chato.
Mnalinda Legacy ya jiwe kwa ku support ujinga wake wa kujenga international airport kijijin kwake.
Solution ya kuepuka hiyo hasara ni utengenezwe mkoa mpya ambao makao makuu yake yatakuwa hapo kijijin otherwise hiyo miradi ni hasara tu.
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Halafu kuna WAPUMBAVU humu wanasema eti Tanzania hautakuja kupata Rais bora na mzalendo kama Mwendazake.Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Akili ya kuhoji hili ni akili ya kipumbavu, ufinyu wa kufikiri, na kukosa kutembea.
Geita ni mkoa, na ni mkoa wa wachimbaji, wafanyabiashara na wakulima, Kwa nini mtu ashukie Mwanza na kuanza kwenda kupanga foreni ya ferry kuvuka halafu aende Geita tena badala ya kushukia Chato na kwenda mjini kwake.
Akili zenu wengineo zipogo kwenye makanyagio
Wiki nzima unasubiria ndege ili utue cattle!! Hopefully huyo meneja anatetea kitumbua chake ila ni full hasara250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
😂Wakati wa kurudi inarudi tupu au ni abiria 62/2=31250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
Mleta mada angenyamaza tu, asifukue makaburi.Leta takwimu za viwanja vya level ya Chato dunia ili tuweze kujadili kwa ufasaha
Ni zaidi ya hovyoNi wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Ni kweli mkuu, alipenda miradi mikubwa ili aibe.Alipenda miradi mikubwa ili aibe, ten percent, alimiliki fedha nyingi za wizi