Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.

Hao ni wengi sn ilitakiwa wawe hata 21 kwa mwenzi
 
Mkuu (mfano) wenye makampuni ya mabasi wanapotoa mabasi mapya huwa wanayatoa kipindi ambacho hhakuna wateja/abilia wengi kama ilivyo mwezi wa kumi na mbili.

Na kwa kipindi hicho chombo usafiri na abilia mpaka 11 huku wengi wa hao wakiwa wa njiani, na uchoma mafuta na tyres kurika kwa hata miezi 5 na huwa wanaamini bandaye msimu na abilia wakitambua huduma zake watakuja na kutumia gari zake.

Unadhani ile safari ya India ndege ilijaza abilia wote 200na kenda?
Chato jiografia yake imejitenga sana hakuna wa kwenda kule na population yao ni ndogo sana
 
Hakuna haja ya kuhakiki,wastani wa abiria nane kwa siku ni kituko
Inakuja kwa week mara moja mkuu! Wastani wa abiria 60 mpaka 70! Sio mbaya ukizingatia huko abiria watazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka!
 
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.

Hongera sana ni kama abiria nane kwa siku
 
Mkuu (mfano) wenye makampuni ya mabasi wanapotoa mabasi mapya huwa wanayatoa kipindi ambacho hhakuna wateja/abilia wengi kama ilivyo mwezi wa kumi na mbili.

Na kwa kipindi hicho chombo usafiri na abilia mpaka 11 huku wengi wa hao wakiwa wa njiani, na uchoma mafuta na tyres kurika kwa hata miezi 5 na huwa wanaamini bandaye msimu na abilia wakitambua huduma zake watakuja na kutumia gari zake.

Unadhani ile safari ya India ndege ilijaza abilia wote 200na kenda?
Huo ni uwanja wa ndege,usilete story za mabasi!
Kuna maeneo ambayo Yana mahitaji ya uwanja wa ndege,mji kama Kahama ambao umechanganya sana kibiashara!Sasa unapoenda kuweka uwanja sehemu ambayo Bado Haina demand ya uwanja,unaonekana mwendawazimu!
Yaani unaacha maeneo potential unaenda kuzika Hela sehemu isiyo na mwamko!
 
Kahama uwanja wa ndege upo fatilia vizuri!
 
Nashauri uwe uwanja maalumu wa kusafirisha sangara na sato kwenda nchi za Asia na Ulaya mashariki
 
Wewe hujawahi kufika huko! Population ni kuwa sana maana Kakonko,biharamuro,muleba ,chato na geita ukizingatia kuna madini kwa wingi!
Yaani mi wa kwenda Kakonko nishukie Chato halafu nipande gari 225km?
 
Mkuu (mfano) wenye makampuni ya mabasi wanapotoa mabasi mapya huwa wanayatoa kipindi ambacho hhakuna wateja/abilia wengi kama ilivyo mwezi wa kumi na mbili.

Na kwa kipindi hicho chombo usafiri na abilia mpaka 11 huku wengi wa hao wakiwa wa njiani, na uchoma mafuta na tyres kurika kwa hata miezi 5 na huwa wanaamini bandaye msimu na abilia wakitambua huduma zake watakuja na kutumia gari zake.

Unadhani ile safari ya India ndege ilijaza abilia wote 200na kenda?
Mbona siku hizi hatusikiii hata zile Nairobi?
 
Wewe hujawahi kufika huko! Population ni kuwa sana maana Kakonko,biharamuro,muleba ,chato na geita ukizingatia kuna madini kwa wingi!
Napajua sana huko,muleba to bukoba ni chini ya masaa mawili usafiri masaa yote,chato to muleba sio karibu hivyo na zile kona kona
 
unajua umbali wa kutoka katoro to chato na katoro to mwanza mjini ? humtoi mtu katoro akatumie huo uwanja , never
Wewe ni taahira! Katoro Chato kilometer 45 na katoro mwanza kilometer 165 uwezo unafatilia! Katoro niko ndani ya wilaya ya chato wewe inakuja kutuambia kutoka katoro kwenda mwanza ni karibu kuliko kutoka katoro kwenda chato!
 
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.

Hii ni hasara kubwa kwa shirika letu la ndege!
 
Back
Top Bottom