Mkuu usinilishe maneno,nimesema uwanja ujengwe sehemu yenye uhitaji!Uwanja sio kama hospitali au barabara,unatenga tu eneo na muda wowote kiwanja kinajengwa!Uwanja ukikosekana eneo Fulani sio kwamba watu watakufa,kwahiyo sio sawa kulinganisha na hospitali!
Ningeona Kuna mantiki kama uwanja ungejengwa Geita!Au uwanja Huo ungejengwa Kahama ambako Kuna mzunguko mkubwa wa biashara na pamekua sana!Fikiri mtu wa Kahama,mpaka aende Mwanza kupanda ndege!
Mtu wa Geita hawezi kwenda kupanda ndege Chato,maana kwanza umbali wa kwenda Chato na kwenda Mwanza Karibu ni sawa!Halafu Mwanza Kuna uhakika wa ndege kila siku!
Sio Kwa chuki,uwanja wa Chato haukustahili kujengwa kipindi hiki badala yake ungejengwa Kahama au Geita!