Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.Okay
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.Okay
Mkuu huwa nakuaminia hoja zako lkn hapa naona unachemka, abiria wakiwa ndani ya ndege hawahesabiwi kuwa wametua isipokuwa walioshuka.Hoja yangu haiko hapo,hoja yangu ni kuwa Je,uwanja Huo ulihitajika Sasa?Halafu hao 250 ni Pamoja na wale wanaoenda Mwanza!Yaani ndege ikitoka dar na watu 60,wawili wakashuka Chato na wengine 58 wakaenda kushukia Mwanza,basi wanarecord uwanja umehudumia watu 60!
Kwenye somo la hesabu uliwahi kufaulu japo mara moja?250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
Mwambieni bibi yenu akabomoe huo uwanja!Kwenye somo la hesabu uliwahi kufaulu japo mara moja?
Wiki katika mwezi = 4
Round trips per week = 3
Total flights per week = 3 × 2 = 6
Abiria kwa mwezi = 250
Wastani wa abiria kwa flight = 250÷(6×4) = 10.4
Ni abiria 10 tu kwa flight! Huu ni ujinga mkubwa. Hiyo hasara analipa nani?
Siyo kila mtu ni masikini kama wewe!Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Angalia huyu nae eti anajiona ana akili. Acha kukurupuka, hesabu yangu inahusu aliesema ndege inakuja mara moja kwa wiki.Kwenye somo la hesabu uliwahi kufaulu japo mara moja?
Wiki katika mwezi = 4
Round trips per week = 3
Total flights per week = 3 × 2 = 6
Abiria kwa mwezi = 250
Wastani wa abiria kwa flight = 250÷(6×4) = 10.4
Ni abiria 10 tu kwa flight! Huu ni ujinga mkubwa. Hiyo hasara analipa nani?
Magufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!Alipenda miradi mikubwa ili aibe, ten percent, alimiliki fedha nyingi za wizi
Umechukua kopo la kutawazia? Naona unaharisha tuMagufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!
Akitaka hela anatoa order tu anapewa!
Ngumbaru kama nyie hamjui hilo ndio maana gaidi yupo jela mpaka muda huu
Timu gaidi ni wapumbavu sanaMagufuli na rais yeyote wa tz hahitaji kuanzisha mamiradi ili kuiba hela!
Akitaka hela anatoa order tu anapewa!
Ngumbaru kama nyie hamjui hilo ndio maana gaidi yupo jela mpaka muda huu
Toa hoja!Umechukua kopo la kutawazia? Naona unaharisha tu
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Uwanja wa Bilioni 38 unahudumia abiria 250 kwa mwezi kwa wastani wa gharama za ATCL kwa abiria ni 450,000 kwa go and return ticket.Hivyo kurudisha gharama za ujenzi wa uwanja pekee unahitaji miaka 28. Bila kuweka gharama za uendeshajiMeneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Huyu kilaza anapenda hesabu ila hajui namba.250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Hujui biashara ya ndege wewe tuliza mshono. Mimi juzi nilienda Mtwara Bombadia tulikuwa abiria 15 tu kwenye ndege lakini bado ATCL wanaendelea kwenda huko.250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Wewe unaona hizo hazitoshi?Una akili za kwendea chooni tuu,pesa wanayopata inaendana na gharama za uendeshaji?
Lengo ni kufurahisha marehemu au kutafuta tija?
Rubbish 🚮🚮Wewe unaona hizo hazitoshi?
Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.