Na wewe iba mkuu! Umeshaambiwa kula kwa urefu wa kamba yako!!Alipenda miradi mikubwa ili aibe, ten percent, alimiliki fedha nyingi za wizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe iba mkuu! Umeshaambiwa kula kwa urefu wa kamba yako!!Alipenda miradi mikubwa ili aibe, ten percent, alimiliki fedha nyingi za wizi
Kwa sababu inatia hasara shirikaUongo
Rubbish to your mentality!Rubbish 🚮🚮
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Mkuu hao wanaopiga kelele hata hawajawahi kupanda ndege kwa pesa yao wasikusumbue hata biashara za usafiri wa ndege hawajui.Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Hayo ni mahesabu ya siku ama ni wiki?250/4=62
Abiria 62 kwa siku kwa ndege kama Bombardier sio mbaya.
Si tumeambiwa ATCL inaenda mara 3 kwa jumaUmekosea hesabu mkuu, sidhani kama ina safari za kila siku. Assume ina safari nne kwa mwezi itakuwa ni abiria 50 kwa safari. Labda hoja iwe uwekezaji mkubwa uliofanyika kwenye uwanja kwamba haukuwa na maslahi kiuchumi.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki...
Kwaio ktk ukadiriaji wa ROI umekadiria na ongezeko la watu na abiria huko Chato...au ume assume tu after 28yrs abiria watabaki wale wale waliopo sasa?Uwanja wa Bilioni 38 unahudumia abiria 250 kwa mwezi kwa wastani wa gharama za ATCL kwa abiria ni 450,000 kwa go and return ticket.Hivyo kurudisha gharama za ujenzi wa uwanja pekee unahitaji miaka 28. Bila kuweka gharama za uendeshaji
Na bado unakuja hapa kusifia ujinga ujinga na upumbavu kama huu. Magufuli alizuia uendelezwaji wa mradi wa Moroco kwa kigezo cha mradi hauna faida kisha akaenda kuwekeza hela kwenye uwanja wa familia yake ili wanae wawe wanatua na ndege nyumbani.
OkayHayo ni mahesabu ya siku ama ni wiki?
250/30=8 hayo ndo mahesabu ya siku.
Uwanja unatengeza hasara kubwa sana kwa taifa. Ndege zinatua mara tatu kwa wiki ina maana mara 12 kwa mwezi. Sasa hao abilia 250 kwa mwezi ukigawa na 12 unapata wastani wa abilia 12 kwa tripu. Sasa hapo shirika linapata faida gani?Mara 3 kwa wiki kupitia ATCL
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Labda waanike dagaa na mihogoHapo chato labda wahudumie mbuzi na punda
Elitwege usijifanye hauoni huu uziSerikali ifanye uamuzi mgumu, hii ni biashara ya hasara, nadhani ATCL wajikumbushe sababu zilizofanya ATC ikafilisika, abiria sita ni sawa na milioni mbili laki nne kwa nauli ya laki nne, Dar-Chato direct flight, maana yake kama ni dreamliner siti nyingi hazikaliwi,inaenda tupu kwa asilimia 98
======
Kamati ya Barabara ya mkoa wa Geita imefanya ziara ya kukuagua barabara mkoani humo kikiwemo kiwanja cha ndege cha Geita kilichopo wilayani Chato na kuridhishwa na mwenendo ukamilishaji ujenzi wa kiwanja hicho sambamba na utoaji huduma ya usafirishaji
"Tumeshahudumia abiria – in-bound na out-bound – kama 3000. Yani kwa mwezi, on average, ni kama abiria 250 mpaka 300 ambao wanatumia kiwanja hiki" Amesema afisa wa Chato Airport
Naye Rosemary Senyamule, Mkuu wa Mkoa wa Geita, amesema:
"Tumeuona ni mradi ambao una viwango ambavyo ni vya juu na haujawahi kupata ufa, haujawahi kupata ajali yoyote. Ni uwanja ambao tangu umejengwa ni imara na umeendelea kutumika mpaka sasa...
… sanasana tuendelee kualika abiria. Tuna safari mbili kwa sasa lakini tunategemea kupata safari tatu kwa wiki. Tuendelee kuwakaribisha watu waendelee kuutumia uwanja huu kwani ni mzuri na wenzetu wa ATCL wametuletea ndege zinakuja. Tuendelee kuunga mkono juhudi kwa kuutumia uwanja huu kama ambavyo wengine wanaendelea kufanya.
Bado tunawakumbusha wenzetu wa ATCL waturudishie route tuwe na siku tatu kwasababu abiria ni wengi. Mnaosimamia hapa muendelee kutunza miundombinu hii… kama ambavyo serikali imewekeza fedha nyingi katika eneo hili
Tumeambiwa zaidi ya bilioni 59 zimetumika kuweza kukamilisha hizi hatua ambazo zipo…"
=====
View attachment 2097374
ww kwa akili zako unaamin kuwa huo uwanja una safar za kila siku ? Mtoa post kaweka mbele siasa , kakiwanja kaajabu kanapewa kiki ili kumchafua Marehemu tu , hv huo uwanja unazid nini viwanja vingine Tz ?Akili za yule baba alikuwa akizijua mwenyewe