Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Wewe hujawahi kufika huko! Population ni kuwa sana maana Kakonko,biharamuro,muleba ,chato na geita ukizingatia kuna madini kwa wingi!
Huo uwanja unahudumia wateja wasiozidi 100 tu hao 250 ni multiple visit za hao watu wasiozidi mia,kama wilaya nne za geita,biharamulo,chato,muleba zina wateja mia tu kwa mwezi ni kituko
 
Wewe ni taahira! Katoro Chato kilometer 45 na katoro mwanza kilometer 165 uwezo unafatilia! Katoro niko ndani ya wilaya ya chato wewe inakuja kutuambia kutoka katoro kwenda mwanza ni karibu kuliko kutoka katoro kwenda chato!
Mtu wa Geita hawezi kwenda Chato,ataenda Mwanza!
 
nyie mnaangalia hapa karibu hii ipo kwa future zaidi ile hospital ikiishakukamilika mambo yatakuwa fire
 
Ndege siyo mchomoko wa Buseresere Nyakanazi. Usiwadanganye hao watu. Huo usafiri siyo saizi ya hao wanyonge.
Ninasikitika kwasababu Watanzania hamjui hukumu za haki isipokuwa chuki.
Kwa mtu anayetumia usafiri wa anga Tanzania huwezi kuwabeza Wasukuma.
Ukiwa JNI waiting lounge 30% wasukuma hujaa.
90% ya wasafiri wa route za Mwanza ni wasukuma.
99% ya route za Tanzania route za kanda ya ziwa ina abiria wengi.
Acheni chuki Msukuma na kanda ya ziwa sio wanyonge.
 
Ndege siyo mchomoko wa Buseresere Nyakanazi. Usiwadanganye hao watu. Huo usafiri siyo saizi ya hao wanyonge.
Hivi wewe vijana wa katoro chato unawajua unawasikia? Ukikaa Dar chumba sebure unavimba kichwa! Katoro pale kuna wanaume wanahela za kutosha tu! Au unamaanisha wasukuma wahawandi ndege? Nenda hapo airport upande wa wasafiri wa local utajua hujui!
 
Ninasikitika kwasababu Watanzania hamjui hukumu za haki isipokuwa chuki.
Kwa mtu anayetumia usafiri wa anga Tanzania huwezi kuwabeza Wasukuma.
Ukiwa JNI waiting lounge 30% wasukuma hujaa.
90% ya wasafiri wa route za Mwanza ni wasukuma.
99% ya route za Tanzania route za kanda ya ziwa ina abiria wengi.
Acheni chuki Msukuma na kanda ya ziwa sio wanyonge.
Huyo bwege mwache anaona wasukuma hawapandi ndege! Ndo hao wanajua wasukuma wote ni wachunga ng'ombe porini!
 
Huyo bwege mwache anaona wasukuma hawapandi ndege! Ndo hao wanajua wa wote ni wachunga ng'ombe porini!
Nchi hii mimi ninayakubali makabila 2.
1. Msukuma 80% ni wakweli na wakarimu wa kweli.
2. Mmasai wa porini ni mkweli hajui kupindisha neno.

The rest ni majanga matupu Tanzania.
....mimi sio miongoni mwa makabila niliyoyataja....
 
Hayati wala hakufikiria kabisa kuhusu suala la "pay back period" ama "internal rate of return" wa huu mradi wake uliokwisha geuka kuwa tembo mweupe.
 
Hayati wala hakufikiria kabisa kuhusu suala la "pay back period" ama "internal rate of return" wa huu mradi wake uliokwisha geuka kuwa tembo mweupe.
Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya miaka 50!
 
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.

250÷28=8 (makadirio ni watu 9 kwa siku)Kirikuu ingependeza isajiliwe kufanya hiyo kazi.Afukuliwe,achapwe bakora za shingo!😝😝😝😝
 
250 per month, 4 flights a month. 62 passengers a flight.
Kiuchumi safari nne Kwa wiki haijakaa vizuri!Halafu ikumbukwe hizo safari kunakuwa na abiri wa kwenda Mwanza au dar ila wanalazimika kutua Chato!Mfano ndege destination ni Mwanza imetoka Dar,basi itapitia Chato kushusha abiria wawili watatu ndio iende Mwanza!Au ikitoka Mwanza,itatua Chato kupakia abiria kadhaa ndie iende Dar!
Hakuna route ambayo destination au Mwanzo wa safari ni Chato!
 
Kwani mikoa mingine ndege inatua mara mbili kwa week inakuwaje? Mkuu usifikirie leo tu fikiria baada ya miaka kadhaa umuhimu wake utaonekana! Hata kiwanja cha ndege cha mwanza alikuwa anakitumia Williamson Diamond lakini leo umuhimu wake kwa nchi ni makubwa! Tumieni ubongo vichwa panzi nyie!
250÷28=8 (makadirio ni watu 9 kwa siku)Kirikuu ingependeza isajiliwe kufanya hiyo kazi.Afukuliwe,achapwe bakora za shingo!😝😝😝😝
 
Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya mpaka 50!
Hivi kwa akili yako unafikiri ilikuwa ni jambo sahihi kwa mkuu wa nchi kujenga kinyemela uwanja wa ndege kijijini wenye hadhi ya kimataifa? Ujenzi wake wa kisirisiri ambao hata haukupitishwa na bejeti ya kawaida, na pia hata uchaguzi wa mkandarasi wake ni kizungumkuti.

Watu kama wewe ni wale bendera ufuata upepo, huna uchungu na kodi za Watanzania, wala huoni wajibu wa wajibu wa viongozi wa nchi katika kuandaa vipaumbele vya taifa. Yaani unathubutu kabisa kuja hapa jukwaani na hoja ya kutaka kuhalalisha mradi ulio tembo mweupe!?

Yaani unazungumzia "payback period" ya baada ya miaka 50 ijayo!? Kweli tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya hakika.
 
Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.

Hao si wanafamilia wa Magufuli tu tena wanarudia rudia wale wale.
 
Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya miaka 50!
Mkuu,suala ni muda gani uwanja ujengwe Kwa kuangalia mahitaji ya wakati uliopo!Sasa unajenga uwanja wa ndege Ili uje kuwa na tija baada ya miaka 50,kweli hiyo ni akili?Ilitakiwa patengwe tu eneo Ili baada ya hiyo miaka 50 kama utahitajika basi ujengwe!
Tukubaliane,uwanja wa Chato ulijengwa Kwa sababu JPM anatoka Chato!Hakuna sababu za kiuchumi zilizokuwepo juu ya uwanja Huo!
Ni eneo gani lingine Tanzania lenye mazingira kama ya Chato limepata uwanja?
 
Back
Top Bottom