Huo uwanja unahudumia wateja wasiozidi 100 tu hao 250 ni multiple visit za hao watu wasiozidi mia,kama wilaya nne za geita,biharamulo,chato,muleba zina wateja mia tu kwa mwezi ni kitukoWewe hujawahi kufika huko! Population ni kuwa sana maana Kakonko,biharamuro,muleba ,chato na geita ukizingatia kuna madini kwa wingi!
Mtu wa Geita hawezi kwenda Chato,ataenda Mwanza!Wewe ni taahira! Katoro Chato kilometer 45 na katoro mwanza kilometer 165 uwezo unafatilia! Katoro niko ndani ya wilaya ya chato wewe inakuja kutuambia kutoka katoro kwenda mwanza ni karibu kuliko kutoka katoro kwenda chato!
Ninasikitika kwasababu Watanzania hamjui hukumu za haki isipokuwa chuki.Ndege siyo mchomoko wa Buseresere Nyakanazi. Usiwadanganye hao watu. Huo usafiri siyo saizi ya hao wanyonge.
Hivi wewe vijana wa katoro chato unawajua unawasikia? Ukikaa Dar chumba sebure unavimba kichwa! Katoro pale kuna wanaume wanahela za kutosha tu! Au unamaanisha wasukuma wahawandi ndege? Nenda hapo airport upande wa wasafiri wa local utajua hujui!Ndege siyo mchomoko wa Buseresere Nyakanazi. Usiwadanganye hao watu. Huo usafiri siyo saizi ya hao wanyonge.
Huyo bwege mwache anaona wasukuma hawapandi ndege! Ndo hao wanajua wasukuma wote ni wachunga ng'ombe porini!Ninasikitika kwasababu Watanzania hamjui hukumu za haki isipokuwa chuki.
Kwa mtu anayetumia usafiri wa anga Tanzania huwezi kuwabeza Wasukuma.
Ukiwa JNI waiting lounge 30% wasukuma hujaa.
90% ya wasafiri wa route za Mwanza ni wasukuma.
99% ya route za Tanzania route za kanda ya ziwa ina abiria wengi.
Acheni chuki Msukuma na kanda ya ziwa sio wanyonge.
Anaweza kuchagua pia! Hapo ni kweli!Mtu wa Geita hawezi kwenda Chato,ataenda Mwanza!
Nchi hii mimi ninayakubali makabila 2.Huyo bwege mwache anaona wasukuma hawapandi ndege! Ndo hao wanajua wa wote ni wachunga ng'ombe porini!
250 per month, 4 flights a month. 62 passengers a flight.Ndio maana nimesema wastani!
Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya miaka 50!Hayati wala hakufikiria kabisa kuhusu suala la "pay back period" ama "internal rate of return" wa huu mradi wake uliokwisha geuka kuwa tembo mweupe.
250Γ·28=8 (makadirio ni watu 9 kwa siku)Kirikuu ingependeza isajiliwe kufanya hiyo kazi.Afukuliwe,achapwe bakora za shingo!ππππMeneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.
Kiuchumi safari nne Kwa wiki haijakaa vizuri!Halafu ikumbukwe hizo safari kunakuwa na abiri wa kwenda Mwanza au dar ila wanalazimika kutua Chato!Mfano ndege destination ni Mwanza imetoka Dar,basi itapitia Chato kushusha abiria wawili watatu ndio iende Mwanza!Au ikitoka Mwanza,itatua Chato kupakia abiria kadhaa ndie iende Dar!250 per month, 4 flights a month. 62 passengers a flight.
250Γ·28=8 (makadirio ni watu 9 kwa siku)Kirikuu ingependeza isajiliwe kufanya hiyo kazi.Afukuliwe,achapwe bakora za shingo!ππππ
Hivi kwa akili yako unafikiri ilikuwa ni jambo sahihi kwa mkuu wa nchi kujenga kinyemela uwanja wa ndege kijijini wenye hadhi ya kimataifa? Ujenzi wake wa kisirisiri ambao hata haukupitishwa na bejeti ya kawaida, na pia hata uchaguzi wa mkandarasi wake ni kizungumkuti.Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya mpaka 50!
Hao si wanafamilia wa Magufuli tu tena wanarudia rudia wale wale.Meneja wa uwanja wa ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi.
Mkuu,suala ni muda gani uwanja ujengwe Kwa kuangalia mahitaji ya wakati uliopo!Sasa unajenga uwanja wa ndege Ili uje kuwa na tija baada ya miaka 50,kweli hiyo ni akili?Ilitakiwa patengwe tu eneo Ili baada ya hiyo miaka 50 kama utahitajika basi ujengwe!Usikariri maisha! Ushawahi kuuliza wakati JNIA au Kilimanjaro airport inaanza walianzaje? Nyinyi akili zenu zinawaza leo utafikiri Tanzania haitakuwepo baada ya miaka 50!
Hivi mtu mwenye akili timamu ataenda Chato kufanya nini? You are not serious at all.Hata timu gaidi watatumia tu tena sana