Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Hbr yako jamaa wa chato?
 
Mjomba Magu alitudanganya,kiasi cha kutugeuza mazezeta.
Fungal ule uwanja kwanza.
 
Sijui kwanini Chato inatesa watu kiasi hiki.
Ndege hupitia Zanz kutokea jro sometimes zinashusha abiria 1 na kupakia 2 kuja dar lkn hatupigi kelele lakini Chato imekuwa Nongwa kiasi hiki.
Mkuu hao wanaopiga kelele hata hawajawahi kupanda ndege kwa pesa yao wasikusumbue hata biashara za usafiri wa ndege hawajui.
 
Thibitisha kama ni kweli kama sio uongo kama wa Magufuli
 
Umekosea hesabu mkuu, sidhani kama ina safari za kila siku. Assume ina safari nne kwa mwezi itakuwa ni abiria 50 kwa safari. Labda hoja iwe uwekezaji mkubwa uliofanyika kwenye uwanja kwamba haukuwa na maslahi kiuchumi.
Si tumeambiwa ATCL inaenda mara 3 kwa juma
 
Meneja amesema mpaka sasa kwa wasitani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki...

Wanaosimamia uwanja wanasema hivi...

Hebu fanya hisabati sasa mkuu...
 
Kwaio ktk ukadiriaji wa ROI umekadiria na ongezeko la watu na abiria huko Chato...au ume assume tu after 28yrs abiria watabaki wale wale waliopo sasa?
 
Mara 3 kwa wiki kupitia ATCL
Uwanja unatengeza hasara kubwa sana kwa taifa. Ndege zinatua mara tatu kwa wiki ina maana mara 12 kwa mwezi. Sasa hao abilia 250 kwa mwezi ukigawa na 12 unapata wastani wa abilia 12 kwa tripu. Sasa hapo shirika linapata faida gani?
 
Pumbavu kweli😀
 
Hakuna kitu pale...ila sukuma gang ukiwaambia ukweli wanataka kutukata mapanga..na kwa tabia mlizozionyesha sukuma gang toka kifo cha mwendazake mpaka leo hakuna raisi msukuma atakaekuja kuitawala Nchii hii mpaka yesu anarudi..MMEONYESHA TABIA MBAYA SANA .
 
Elitwege usijifanye hauoni huu uzi
 
Akili za yule baba alikuwa akizijua mwenyewe
ww kwa akili zako unaamin kuwa huo uwanja una safar za kila siku ? Mtoa post kaweka mbele siasa , kakiwanja kaajabu kanapewa kiki ili kumchafua Marehemu tu , hv huo uwanja unazid nini viwanja vingine Tz ?
 
ukisoma hii thread plus wachangiaji , unagundua bara la afrika haliendelei kwa kuweka chuki mbele , ule uwanja wa chato ni sawa na viwanja vingine vya wilaya mbali mbali hapa Tz ila watu wamekosa hoja za kumkosoa marehemu basi hii ndo inabakia kuwa hoja ila in reality , hakuna route za kila siku hapo chato pia shirika la ndege sio wajingq kias hicho kuruhusu ndege kubeba watu sita kila siku throughout the year , Wabongo tunaendekeza siasa chuki na tutavuna tunachokitafuta one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…