Meneja wa Bangala: Bangala akiachwa tu Saa 7 Mchana Saa 8 Mchana atakuwa ameshasajiliwa na Timu nyingine

Hahaa kumbe sababu Fei toto muislam mwezio wa Zanzibar aliguswa ndio unmpondea Hersi?

Sasa sikiliza wewe hujui kitu. Ile alifanya Raisi Samia sio sawa hapaswi kuingilia mambo ya mpira mchezaji kama una mkataba lazima aidha uutumikie au uuvunje kwa utaratibu sio maelekezo ya raisi sababu mnatoka nae sehemu moja.
 
Management ya Yanga ni wajinga sana.

Wana hiyari wauwe vipaji. Tule sijuwi Msomali wa wapi ambae hajuwi maana ya Rehma ni nini.

Hakuna kitu kikaendeshwa kwa roho mbaya kikafanikiwa.
Wewe mtu ni noma... Yaani unajua kila kitu na kila jukwaa nakuona tena hutaki upingwe au ukosolewe.

Najua kuna siku nitakuona kwenye ule uzi wa kula au kuliwa tunda kimasihara ukitoa kisa chako cha kuliwa kimasihara
 
Kumbe upo usingizini.

Bofya chini hapo utakuta mpaka picha zangu:

Vipi, huo uzi unaousema mama'ko anaingia?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mama unachamba wewe!!
 
Ataachwa kikiisha muda kibali Cha kazi alicholipiwa
 
Management ya Yanga ni wajinga sana.

Wana hiyari wauwe vipaji. Yule sijuwi Msomali wa wapi ambae hajuwi maana ya Rehma ni nini.

Hakuna kitu kikaendeshwa kwa roho mbaya kikafanikiwa.
Hersi Said ni ndugu yako kabisa katika Imaan! Kwa nini unambagua kwa kumuita Msomali, na wakati ni Mtanzania kama wewe? Au dini yenu ina double standard!

Maana huwa mnatujia juu sana pale tunapo watambua Wazanzibari kama watu wa Taifa tofauti na Tanganyika!
 
Ndiyo nimeuliza, Msomali gani yule asiyeijuwa Rehma? Rahma ni Uislam, kila Muislam anatakiwa awe na Rahma.
 
Management ya Yanga ni wajinga sana.

Wana hiyari wauwe vipaji. Yule sijuwi Msomali wa wapi ambae hajuwi maana ya Rehma ni nini.

Hakuna kitu kikaendeshwa kwa roho mbaya kikafanikiwa.
Hizo timu Zina mengi,anashitumiwa kuuza mechi na watani,kuendesha migomo,kumshawishi mchezaji aliyekua anakuja yanga akasaini kwa watani,Sasa wanamuonesha kariakoo pakoje
 
Wewe bibi ni kigeu geu ulikua unasema Feisali amekosea sasa hivi umebadili gia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…