kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Hahaa kumbe sababu Fei toto muislam mwezio wa Zanzibar aliguswa ndio unmpondea Hersi?Najuwa mipira wacha mpira.
Hivi ni mjinga gani dunia ya kiganjani leo hii asiyejuwa masuala ya mpira?
Hivi mnajiona mnaoona mitandao ni nyinyi tu?
Tunajuwa roho mbaya waliyoifanya kwa Fey mpaka mamam akaingilia, wakaufta fya, na mshuzi juu, na mfadhali wao akapewa live na mama palepale akaambiwa wewe tumia pesa mipirani unafikiri hatujuwi unafanya nini bandarini. Hukuyaona hayo wewe?
Sasa hapo kuna siri gani na vitu vipo wazi kabisa.
Pambaf.
Sasa sikiliza wewe hujui kitu. Ile alifanya Raisi Samia sio sawa hapaswi kuingilia mambo ya mpira mchezaji kama una mkataba lazima aidha uutumikie au uuvunje kwa utaratibu sio maelekezo ya raisi sababu mnatoka nae sehemu moja.