Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Poleni Ndugu ,jamaa na marafiki wa Eng Ngusa Julius.Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dae es Salaam, Engineer Ngussa...
Wataelewa kweli Uvccm?Kama ni ya upumiaji pia mkuu kuwa wazi ili watu ambao wanaona kuwa hii sio ishu serious waanze kuelewa..misiba ni mingi sana.
Wanakufa watu wa aina zote tu. Jilinde.Inaonyesha hii kitu inapenda sana mabonge na wazee
Hii kitu ikikukaba hasa ukiwa na kisukari au pressure mistake ya kukuchelewesha hospital ni grave sentenceInaonyesha hii kitu inapenda sana mabonge na wazee
Vijana sio rahsiWanakufa watu wa aina zote tu. Jilinde.
Wanakufa pia. Unajua hujui nn kipo kwenye mwili wako, hujui udhaifu uliopo ndani. Unaweza kuwa mzima kabisa kumbe huwa una katatizo ndani ila kwa vile hushambuliwi na maradhi unakuwa salama. Vifo vipo vya watu wa aina zote.Vijana sio rahsi
Acha kujidanganya ,nafanya kazi kwenye hospitali kubwa sana hapa nchini watu wanakufa,mabinti wadogo wala siyo hivyo unavyodhani wwInaonyesha hii kitu inapenda sana mabonge na wazee
Kwanini hamtaki kuwa wazi sasa watu wanakufa na corona mnatizama tu jamani why daah so sad.Acha kujidanganya ,nafanya kazi kwenye hospitali kubwa sana hapa nchini watu wanakufa,mabinti wadogo wala siyo hivyo unavyodhani ww
alikuwa na changamoto gani last week,Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Ngussa.
Alikuwa rafiki yangu zaidi ya miaka 20. Kwa kweli nimeumia.
Nimeongea naye last week kumpa pole ya changamoto....!
Mungu amuweke mahali pema.
RIP.
Chanzo cha kifo n changamoto maana kasema last wk aliwasiliana nae kumpa pole ya changamoto..... bila shaka ni ya upumuaji🤭, tatz lng huwa naelewa haraka haraka bila kufikiria vzr🤣🤣🤣🤣🤣Chanzo cha kifo?