TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Ngussa.

Alikuwa rafiki yangu zaidi ya miaka 20. Kwa kweli nimeumia.

Nimeongea naye last week kumpa pole ya changamoto....!

Mungu amuweke mahali pema.

Ngusa.JPG

RIP.

IMG_20210217_234034_294.jpg
 
RIP injinia Julius Ngusa meneja wa TANROADS mkoa wa DSM.

3 Dec 2020
Eng. Julius Ngusa akizungumza wakati wa kikao kazi cha TANROADS mwezi December 2020

Wakala wa Barabara nchini TANROADS wako katika upembuzi eneo la Jangwani Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa daraja la urefu wa 300 ili kuondokana na adha ya mafuriko yanayolikumba eneo hilo nyakati za mvua. Hayo yameelezwa na Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini ilipozuru kuangalia miradi ya barabara inayotekelezwa na TANROADS jijini la Dar es Salaam, ukiwemo ujenzi wa barabara za njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha maili moja.
 
Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Ngussa.

Alikuwa rafiki yangu zaidi ya miaka 20. Kwa kweli nimeumia.

Nimeongea naye last week kumpa pole ya changamoto....!

Mungu amuweke mahali pema.

RIP.
alikuwa na changamoto gani last week,
 
Back
Top Bottom