TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

Ni changamoto ya upumuaji. Alipewa hadi msaada wa mashine ya kumsaidia kupumua lkn baadaye akafariki Dunia. Mimi binafsi nilikuwa namfahamu sana. R.I.P Engender .
 
Hili uliloandika hapa, hata hawataki kabisa kulisikia, lakini ukweli ndio huo. Ugonjwa unaenea bila kuwepo tahadhari yoyote.

Hata madaktari, wanatoa waraka wa kisiasa kama ule uliotolewa juzi. Hawasemi chochote kuhusu maenezi na njia za kupambana na kusambaa kwa ugonjwa.
Wote wanakuwa washiriki katika kuangamiza waTanzania.
 
Ngoma yetu ngumu.

Huvi hawa wanaojichanganya bila ulazima wanakuwa hawaelewi kuhusu maambukizi au wana suicide mission ndogondogo tu?
Wamefunzwa na somo wamelikubali na kulielewa.

"Haka ni kaugonjwa kadogo, kasitutishe. Kwanza ni kakishetani, sisi ni wa 'mungu'".

"Woga/hofu ni hatari zaidi kuliko ugonjwa wenyewe".

Haya yanaposemwa na mtu aliyepo kwenye ngazi ile, watu wengi sana husikiliza na kumwelewa.

Kwanza ni msomi wa kiwango cha PhD, mashaka kwa wengi hayapo.
 
wewe subiri mbona italia walikufa madaktari wote wataja kusema its matter of time
 
Kabisa mkuu maana kwa ninavyoona hapa watu kutoka vijijini na mjini wanakuja

Na wale wataoleta/sindikiza mwili wa marehemu kutoka huko alikofia watachanganyikana na hawa...
Tanzania ni salama.piga nyungu twice daily, morning &late evening.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…