Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

Wafanyakazi wa TRA ufisadi na kuiba iko kwenye genes zao!
 
Watumishi wa Umma hawawezi kumhukumu Na kumuoneshea vidole huyu kaka
 

Iwe Boju ,you nigambile stupidy infront of my wife?
 
Halafu utakuta ni mwanachama wa chama tawala...
 
Lakini isije ikawa huyo jamaa amebambikiwa hayo meno ya tembo kutokana na Visa vyao binafsi kati yake na hao Askari Polisi, kwa sababu Polisi wa Tanzania hawaaminiki hata kidogo. Tusimhukumu huyo Meneja wa TRA kabla ya kumsikiliza kwanza.

Polisi Wana Kesi nyingi zimejaa kwenye "stoo" zao, ukipishana nao Kiswahili tu Basi watakupatia Kesi nzito Sana itayokufaa, kama vile "Kesi ya kichwa."

Polisi hawaaminiki kabisaaaaaaa!!
 
TRA wa huko wanapiga na zile deal za mkaa, kontena zinakuwa sealed vizuri kabisa. Hakuna kusumbuliwa mpaka Dar. Mamilioni tu. Anyways, Mpambanaji mwenzetu kajikwaa tu, alikuwa kwenye harakati za kutafuta ugali wa familia.
 
He will come back stronger. Hivi unadhani yeye alikua hajui kuwa akikamatwa kazi hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…