Ni Kweli Mercy yupo kwenye Body ya Kampuni Za mengi......ila kimila yetu ukivuta mke mdogo Huwa atakiwi kurithi vitu alivyovikuta..basi tu Umaskini lakini toka zamani ..ukioa mke mpya ni Sharti umpe nyumba yake ,shamba lake ...na Mifugo yake apate maziwa...na watoto atakaozaa watarithi vitu Hivyo ....huwezi kuoa mke mdogo umuweke kwenye mgao wa mke mkubwa ..
Ile ya kua watu wangemchamba kuhusu crdb ee au
Hata wasingekua wamefunga ndoa. Maisha ni leo, kesho huijui.
Lakini pia Jacq sio mjinga wa kusema akiachwa leo kafilisika. Lazima baba kawaandalia Twins wake mazingira incase hata akifa leo.
Halafu mdada msambaza taarifa kwenye groups aliemsaliti kakopi hadi namba...
Enzi hizo na Mama, Sheria bado haijasainiwaView attachment 240548
Iyo ilikua ni comment ya mdau kule u turn.wamecopy ila hawaja acknowledge.Jaman klynn sio mjinga.
Huyu ndio alikua mzembe... Namuonaona pale Mlimani City kwenye ofisi za kampuni fulani ya simu.Enzi hizo na Mama, Sheria bado haijasainiwaView attachment 240548
Iyo ilikua ni comment ya mdau kule u turn.wamecopy ila hawaja acknowledge.Jaman klynn sio mjinga.
Huyu ndio alikua mzembe... Namuonaona pale Mlimani City kwenye ofisi za kampuni fulani ya simu.
Huyu ndio alikua mzembe... Namuonaona pale Mlimani City kwenye ofisi za kampuni fulani ya simu.
Bakhresa hana dogo dogo jaman, maana yule nae simsikiagi ye kutwa maandazi, mara chapati, haya mambo ya kupenda kituntuni naona hanag
Hhhaaa ye ni maandazi tu k kamuachia mzee mengi
Hhhaaa ye ni maandazi tu k kamuachia mzee mengi
Wabongo kwa kucopy wanatishaaa
Mchangamsheni bhana, kazubaa mno, khaa
Watoto wazuri na hela ni damu damu pia, ni ukweli usiofichika mamilionea wote kwenye ndoa mwisho wa siku wanaangukia pua.