Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol

Hivi mke wake wa siku nyingi yupo wapi?
 
Ndoa flan ya kitajiri sanaaa inasemekana imefanyika hivi karibuni kwenye visiwa flan huko France wageni waalikwa kama kumi tu ambao ni mashost zake klyn wa karibu sanaa. hapo ndo mwisho wangu wa kujua nisije kuongeza ya uongo nikasakwa bure ila wenye habar zaidi mnaweza kutujuza hii haruc ya tajir mwenzangu ilikuaje coz next month am in!!
 
Fine milioni 5 au jela miaka 3 - Peter Serukamba
 
Angalie usiviue tu kwa micharazo.

Unaweza kuambiwa "mahaba nipaishe mpaka darini nikutane na feni bila kuumia" ukampaisha mtu kweli, akirudi chini kwisha kazi.

Hapa umenichekesha.
 
Hapa umenichekesha.

True story.

Kuna mtu alikuwa anajitia kupenda vizee vizee hivihivi.

Siku moja akapata kizee chake, kikamwambia mimi najua sina siku nyingi za kuishi (alikuwa na cancer na complications za ini) ninachotaka katika maisha yangu yaliyobaki turushane mpaka nifie kifuani mwako.

Bidada alikoma mwenyewe na kukimbia hapohapo.

Baadaye yule babu akampigia simu kumwambia bidada alikuwa anamtania tu, anataka data zake amuachie insurance akifa akusanye hela.

Bidada akampa data, miezi michache kibabu cha watu kikafa, ile insurance ilikuwa ndiyo kwanza inaanza, bidada akaambulia $10,000. Kibabu kingeendelea kuishi zaidi kidogo tu insurance ingekuwa inazidi.
 
Wewe sheria mpya inakuhusu!!!!!

Tiba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom