Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
It's a win win situation for both of them. Hata Mengi karejesha ujana wake.
Siku hizi utakuta Mengi kavaa jeans na koti au shati fulani hivi amaizing... anapendezaje sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's a win win situation for both of them. Hata Mengi karejesha ujana wake.
Pesa sabuni ya roho, ivo ikiwepo mapenzi yanakuwa matamuuuuuuuuuu.
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol
huko uskumani havipatikani shoga
Hivi mke wake wa siku nyingi yupo wapi?
Fine milioni 5 au jela miaka 3 - Peter SerukambaNdoa flan ya kitajiri sanaaa inasemekana imefanyika hivi karibuni kwenye visiwa flan huko France wageni waalikwa kama kumi tu ambao ni mashost zake klyn wa karibu sanaa. hapo ndo mwisho wangu wa kujua nisije kuongeza ya uongo nikasakwa bure ila wenye habar zaidi mnaweza kutujuza hii haruc ya tajir mwenzangu ilikuaje coz next month am in!!
Angalie usiviue tu kwa micharazo.
Unaweza kuambiwa "mahaba nipaishe mpaka darini nikutane na feni bila kuumia" ukampaisha mtu kweli, akirudi chini kwisha kazi.
Tafuta zako.
Fine milioni 5 au jela miaka 3 - Peter Serukamba
Hapa umenichekesha.
Fine milioni 5 au jela miaka 3 - Peter Serukamba
Sitafuti ng'oo.
wapo wanaonitafutia ili mimi nizitumie.
Tulikunywa tukalewa na kula sana.....
Na wewe umetumia jina la bandia kwenye mtandao, fine milioni 5 au jela miaka 3 (refer: sheria-mtandao mpya tarajiwa)
Bandika mipichapicha tuone