Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Hapa mpaka serikali itaitwa yaani. Kwann wamewapa DSTV leseni wakamchafua penina?🤣🤣🤣.
 
Tangu lini kutoa leseni kwa mtu aliyekidhi vigezo ikawa kosa? Kwa sheria ipi?
Usiku huu na biashara za kutokulala unakuwa serious yann😁

We achana na kuelimisha, furahia porojo, vaa akili ndogo kisha na wewe piga porojo tu humu. Ushaambiwa kuna 1.2b zimepotea zinatakiwa kutafutwa na DSTV🤣.
 
Usiku huu na biashara za kutokulala unakuwa serious yann😁

We achana na kuelimisha, furahia porojo, vaa akili ndogo kisha na wewe piga porojo tu humu. Ushaambiwa kuna 1.2b zimepotea zinatakiwa kutafutwa🤣.
😂😂😂😂😂, aisee, kuna mtoto mzuri nammendea hapa, ngoja nirushe ndoano, baadae kidogo tutaendelea...
 
Nchi hii mtu mwenye leseni halali kurusha kipindi ni kosa? Tangu lini? Kwa sheria ipi?
Kupata leseni hakukuhalishi kuingilia privacy za watu , kuzusha, au kutangaza yasiyo halali.

Itokee wamerusha kipindi wakizusha kwa lala na mzazi wako kimapenzi. Je utamshtaki nani?
Mtangazani au shirika la utangazaji?
 
Kupata leseni hakukuhalishi kuingilia privacy za watu , kuzusha, au kutangaza yasiyo halali.

Itokee wamerusha kipindi wakizusha kwa lala na mzazi wako kimapenzi. Je utamshtaki nani?
Mtangazani au shirika la utangazaji?
Itikia roll call kwanza
 
Kuna kampuni ya ulinzi ilimlipa mtumishi wao wenyewe kutumia picha yake Kwa tangazo la Biashara bila ruhusa. Mahakama ya Kisutu. Watu wanapiga hela kimya kimya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesoma comment yakwanzà nikaivumilia sasa kumbe ndiyo uandishi wake sijui kiruga gani![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kiruga ndio kitu gani Ulweso?
 
Ila bongo
 
Ay Ana nyumba America ipi?
Sh 100,000,000 ni pesa ndogo sana kununua nyumba America. Hiyo pesa ni sawa $49, 000- 52,000 pesa ambayo ni kiduchu saana. Hata bed seat hupati. Labda alinunua nchini Haiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…