Ndugu exposure yako ndogo. Siwezi bishana na wewe na pia siwezi kukutukana. Angalia case zote wanazoshitakiwa DSTV (au Multichoice kama wamiliki) zinahusu nini. Yaani unadhani huyo mdada ndio wa kwanza kusemwa vibaya na channels ndani ya DSTV? Unajua disclaimer ya DSTV na wenye channels kwenye satellite yao?
Mfano kwa mtumiaji ipo kama hii (Sijui kwa wenye channels ndani ya DSTV):
5. Our obligations
We also warrant (promise) to:
5.1 not knowingly include defamatory material or anything which violates any copyright, right of privacy, literacy or dramatic right of any Person;