Hawajashinda rufaa wamekata rufaaUnajuwa kilichotokea? Tigo wameshinda rufaa.
Halafu AY na MwanaFa huwezi kuwafananisha na hao wauza mbunye, ni watu wana status zao na shule ipo lakini wamezidiwa maarifa.
Hata Mo anaishi kwao mpaka leoRay huyu huyu anayeishi kwao mpk leo?Mnadhani mil 100 Ni makalio kila mtu anayo mzee?
Hata Yesu anaishi kwny makao ya baba yake mpk leo.Hata Mo anaishi kwao mpaka leo
Achana nao wanakupotezea muda tu. Wengi wanajibu kwa jazba na maneno ya kejeli hawayoi point yoyote.Nimeelewa point yenu,kampuni kubwa tz inaweza kufanya itakavyo sababu ina wanasheria wazuri hawawezi shtakiwa,okey sawa
Itakuwa Kigosi!Hata Yesu anaishi kwny makao ya baba yake mpk leo.
Hahaaaaaaaaa, umenichekesha sana na sijui umewaza nini?Hata Yesu anaishi kwny makao ya baba yake mpk leo.
hili toto lina manyama nyama flani ma staki yaani kulipuliza linafaa ionekavyo1.2bil. ndio pesa angepoteza sio?Menina amelipa Kodi TRA kiasi gani kwa miaka 3 iliyopita?
Hawajawah simama mahakaman, kile kizimba acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao wanakupotezea muda tu. Wengi wanajibu kwa jazba na maneno ya kejeli hawayoi point yoyote.
Aisee!Hawajawah simama mahakaman, kile kizimba acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu exposure yako ndogo. Siwezi bishana na wewe na pia siwezi kukutukana. Angalia case zote wanazoshitakiwa DSTV (au Multichoice kama wamiliki) zinahusu nini. Yaani unadhani huyo mdada ndio wa kwanza kusemwa vibaya na channels ndani ya DSTV? Unajua disclaimer ya DSTV na wenye channels kwenye satellite yao?Hii nchi imejaa wajinga, utakua katibu mwenezi wao
Wamefanya deformation hawajafanya? Jambo lao wenyewe kauli yao wameshindwa isimamiaNdugu exposure yako ndogo. Siwezi bishana na wewe na pia siwezi kukutukana. Angalia case zote wanazoshitakiwa DSTV (au Multichoice kama wamiliki) zinahusu nini. Yaani unadhani huyo mdada ndio wa kwanza kusemwa vibaya na channels ndani ya DSTV? Unajua disclaimer ya DSTV na wenye channels kwenye satellite yao?
Mfano kwa mtumiaji ipo kama hii (Sijui kwa wenye channels ndani ya DSTV):
5. Our obligations
We also warrant (promise) to:
5.1 not knowingly include defamatory material or anything which violates any copyright, right of privacy, literacy or dramatic right of any Person;
Sasa hao majirani ndio washtakiwe, ili katika utetezi wao waseme kwamba walitengenezwa, Au walirogwa, au walileweshwa? Au ni wao tu na roho zao mbaya wakaamua kumchafua huyo Menina. Hiyo ni wao sasa, na kama wataweza kudhibitisha walitumwa, hiyo alietumwa atachukuliwa hatua za kisheria, lakini sio kukimbilia kumshtaki mtu aliewasilisha taarifa za majirani kama zilivyo. Hivi hicho kipindi kingerushwa Youtube, mngwashitaki Youtube kwa maneno ambayo hayakusemwa na youtube? Bali Youtube wameyawasilisha kama yalivyo, sasa utawashtaki vipi?Vipi kama wale ni majirani wa kutengenezwa?? Kama ni majirani wataletwa mahakaman kama mashaidi naa upande wa DStv
Me sioni hapo kipindi kinashida Bali hao majirani waliosema hayo maneno NuzulatiAngeanza na hao majirani wambea
Sio deformation ni defamation. Elimu! Elimu! Elimu! Elimu na exposure ni muhimu.Wamefanya deformation hawajafanya? Jambo lao wenyewe kauli yao wameshindwa isimamia
Unaongelea exposure ya longido? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Katibu mwenezi
Majirani sio tatizo, waendesha kipindi walikosea habari kukosa pande mbiliMe sioni hapo kipindi kinashida Bali hao majirani waliosema hayo maneno Nuzulati
Ukipigiwa simu ili utuoe upande wako wa maelezo, na kwa kiburi chako ukagoma kupokea, wanayo haki yankukirusha kwa kuwa ume-waive hiyo haki yako mwenyewe.Hapa kesi ipo bcs kwa nini kipindi kiliruka bila yeye menina kuhojiwa
Warusha kipindi hawakutoa haki asilia ya kumhoji mhusika.
Akikomaa vizuri kuna chakula hapo japo sioni kama kitafika 1.2b
Je juhudi za kumfikia menina kabla hakijarushwa can be substantiated mahakamani?Ukipigiwa simu ili utuoe upande wako wa maelezo, na kwa kiburi chako ukagoma kupokea, wanayo haki yankukirusha kwa kuwa ume-waive hiyo haki yako mwenyewe.
πππ Nimecheka kichizi ππhili toto lina manyama nyama flani ma staki yaani kulipuliza linafaa ionekavyo
πππ Lkn si Ni ukweli mkuu?Hahaaaaaaaaa, umenichekesha sana na sijui umewaza nini?