Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Ofcourse they can be substantiated, we unafikiri DSTV wameanza leo hizi kazi?
 
Akicheza vizur analipwa.
Analipwa.
Analipwa.
Analipwa!!
 
nadhani pia aliporekodi video na mwijaku wakinyanduana na hapo alikuwa akichafuliwa..
 
Huyu si wa ile issue ya Mwijaku!

Mbona hakumshitaki Mwijaku kwamba amemuharibia biashara yake
 
;pnamjibu aliyejichanganya Ray kigosi alilipwa milioni 100 ya picha yake kutumika kwenye bando kina Ay na mwana fa walipiga mamilioni ya kutosha hdi Ay akanunua nyumba america ndiyo nikamuuliza kwani hakuna hata nyumba ya dollar 200,000?
Hiyo nyumba aliyonunua Ay America ipo mtaa gani? Au unafikiria kununua nyumba marekani in sawa na kununua nyumba temeke?
 
Hiyo nyumba aliyonunua Ay America ipo mtaa gani? Au unafikiria kununua nyumba marekani in sawa na kununua nyumba temeke?
Usiwe muoga dogo unaogopa sana kusikia neno marekani ndugu yangu zipo zenye bei kama za kimara na ukinunua ni advantage kwako swali ni JE UNA HIZO HELA? au unaleta makasiriko yako kwenye hii thread?
hiyo hapo milioni 50 ya kibongo bado haiwezekaniki au? iko alabama au wewe unazungumzia USA river ya Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…