Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi unaelewa huu ugolo ulioandika hapa? Au umeshashtuwa Kvant?Walilipwa hadi Ay akanunua nyumba america kesi iliyoko ni rufaa ya tigo kutaka hela irudishwe
Kwani Kuishi kwao kuna tatizo mzee? Unajua kwa nini hataki kutoka kwao?Ray huyu huyu anayeishi kwao mpk leo?Mnadhani mil 100 Ni makalio kila mtu anayo mzee?
😳 Hilo jibu dahKwa Yesu
Shida sio anaeandaa kipind rahasha shida ni yule anaeluhusu kulusha kipindi hewanKuanika taarifa iliyosemwa na mtu ni kosa? Kwa sheria ipi? Leo hii ITV wakionyesha habari ya Gwajima akiwa kanisani kwake akiponda usalama wa chanjo, na kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, Pfizer wataishtaki ITV au watamshtaki Gwajima?, hivi mkitumia akili zikizo kichwani huwa mnapungukiwa na nini kwani?
Nimeelewa point yenu, kampuni kubwa tz inaweza kufanya itakavyo sababu ina wanasheria wazuri hawawezi shtakiwa,okey sawaHivi unaelewa huu ugolo ulioandika hapa? Au umeshashtuwa Kvant?
Ulisikia dunia gani mtu alipe pesa halafu ndio akate rufaa? Akili yako inakubaliana kabisa na hili?
Sasa akiwashitaki majirani zake wataipa nini? Labda wamlipe vijora na madela acha awashitaki Dstv [emoji3]Suala sio udogo wa kampuni au ukubwa, suala ni kuwashitaki Dstv badala ya kuwashitaki majirani, shida inaanzia hapo
😄😄😄 Ingekua hivyo TMZ ingekua imeshashitakiwa na kutoka barabarani kitambo Sana na maelfu ya mastaa tena wenye mikwanja yao ya maana.Siyo kila kitu ubishe alikula hela hiyo hata siku ya celebration na mimi nilikula nina hakika ninacboongea asilimia mia moja,menina akijipanga anwatusua hawa watu kile kipindi cha umbeya watu wakikiamulia wata wa sue sana
Kwa sababu ni fogo 😄😄Kwani Kuishi kwao kuna tatizo mzee? Unajua kwa nini hataki kutoka kwao?
Tena hiyo ya kigosi walimalizana kimyakimya haikuwa public sasa mtu anabisha tu kisa mtu anakaa kwao unajua hiyo 100 waligawana wangapi?usishangae hata mgonga nyundo kutoa hukumu ana fungu lakeKwani Kuishi kwao kuna tatizo mzee? Unajua kwa nini hataki kutoka kwao?
Mkuu unaandika kiruga gani hiki?Kwasababu Dstv hinahusika kwa hiwango hikubwa kusahambaza tahaarifa katika mehedia yake.
Dah hii lugha ngumu kweli, inafanana na kiswahiliDsrv hinahusika na hikipindi ndio mahaana menina amehona hupepo wa hela hupo huko kwhy hatapata hakiwashitaki hao
Hupepo wa pesa hupo kabisa yeye hakomae nao tuDsrv hinahusika na hikipindi ndio mahaana menina amehona hupepo wa hela hupo huko kwhy hatapata hakiwashitaki hao
Mkuu nipasishie PM na mimi tafwazal....mpaka leo ile video ninayo kwa matumizi ya baadae
Ay Ana nyumba America ipi?Walilipwa hadi Ay akanunua nyumba america kesi iliyoko ni rufaa ya tigo kutaka hela irudishwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimesoma comment yakwanzà nikaivumilia sasa kumbe ndiyo uandishi wake sijui kiruga gani![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu wewe kabila gani mbona uandishi wako wa kikabila sana.
Kwa mwaka on average mapato yake Ni Tsh. mil 400,kila mwezi shughuli zake za Usanii na U-MC zinamuingizia Mil 33.1.2 bil kwa miaka mitatu?