Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Kuanika taarifa iliyosemwa na mtu ni kosa? Kwa sheria ipi? Leo hii ITV wakionyesha habari ya Gwajima akiwa kanisani kwake akiponda usalama wa chanjo, na kampuni za chanjo kama Pfizer zikala hasara, Pfizer wataishtaki ITV au watamshtaki Gwajima?, hivi mkitumia akili zikizo kichwani huwa mnapungukiwa na nini kwani?
Na mimi napata logic sasa!!!

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kushinda kesi ya namna hii kutokana na ukubwa wa company yenyewe sababu ina uwezo wa kufanya kila kitu ili ishinde kesi. probability ya kushindwa ni 99% huo muda atakaopoteza ni bora aendelee na kazi zake za ajabu.
Sio kweli. Hao ndio wanahitajika kuliko kumshtaki mtu personaly, akipata wanasheria wazuri hii kesi ni ganda la ndizi
 
Back
Top Bottom