FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hiyo ni juu yake, atajua yeyeSasa akiwashitaki majirani zake wataipa nini? Labda wamlipe vijora na madela acha awashitaki Dstv [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni juu yake, atajua yeyeSasa akiwashitaki majirani zake wataipa nini? Labda wamlipe vijora na madela acha awashitaki Dstv [emoji3]
Mbona Musiba alivyoshtakiwa hakushtaki wachapishaji wa gazeti? ilikuwa ni lazima? kesi ikianza hao kina Juma lokole ndiyo watenda kuwaleta hao majirani kama mashahidi na source ya habai yao ambayo haikuwa balancedBasi kwa mantiki hiyo hadi Tanesco atatajwa maana yeye ndiye alie-supply umeme uliorusha matangazo, na hata wale watangazaji watakaokua wanahost kipindi nao washtakiwe, sivyo?; lazima pawe na mipaka ya liability, kosa hapo ni kuchafua mtu, kilichochafua mtu ni maneno ya majirani, period.Hivyo majirani washtakiwe, sio Tanesco wala mwingine yeyote.
Utaulizwa, umbea ni nini?Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Dstv karusha kilichosemwa kama kilivyosemwa, hakujudge kusema kama ni kweli au la, hawakuunga mkono wala kubisha, bali walitoa taarifa kwamba majirani wanasema moja, mbili, tatu. Kazi ya kukanusha au kukubali ni yake yeye Menina; na pia kama anaona hao majirani wamemchafua basi awashtaki hao.Dstv hadi wanarusha walijidhisha kuwa kilichosemwa na majirani ni ukweli?
Au wanarusha kila kitu hata mambo ya uongo
Majirani watatoa wapi 1.2bilSasa badala ya kuwashtaki majirani waliosema hayo yeye anawashtaki Dstv? Ana akili sawasawa huyu?
Nchi hii mtu mwenye leseni halali kurusha kipindi ni kosa? Tangu lini? Kwa sheria ipi?Kwani majirani walirusha kipindi bro?
Majirani watawaleta wao kuwa mashahidi wao kwa kumchafua mtu.
Mbona hela iko nje hapo?
Akina Juma Lokole na kundi lake huo sio uanahabari ni uharibifu sawa na Mange Kimambi, sijui kwanini maudhui hayo yanaruhusiwaje kurushwa.Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Hayo yatajulikana mahakamani, haki itapatikana huko tusijifanye wanasheria hivi wewe ukiwa accused kumuua mzazi mwenzako na kipindi kikarushwa kwenye media kikaonekana east africa nzima utaenda ku dela na waliohojiwa?Dstv karusha kilichosemwa kama kilivyosemwa, hakujudge kusema kama ni kweli au la, hawakuunga mkono wala kubisha, bali walitoa taarifa kwamba majirani wanasema moja, mbili, tatu. Kazi ya kukanusha au kukubali ni yake yeye Menina; na pia kama anaona hao majirani wamemchafua basi awashtaki hao.
Ndo yanayoingiza hela nyingiAkipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Imagine watu wanashangilia kwamba Menina hana haki kulalamika ,jama wanavyotangaza wanashibedua na kuchochea kabisa kwamba Meninia kamuua mzazi mwenzakeAkina Juma Lokole na kundi lake huo sio uanahabari ni uharibifu sawa na Mange Kimambi, sijui kwanini maudhui hayo yanaruhusiwaje kurushwa.
Unajua ni kwanini Ruge alikataa kipindi cha shilawadu(kilichozaa hiyo ICU inayoleta shida) kisirushe ile clip kuhusu Gwajima kuzaa na mwanamke kichaa hadi bashite akakasirika na kuvamia clouds?Dstv karusha kilichosemwa kama kilivyosemwa, hakujudge kusema kama ni kweli au la, hawakuunga mkono wala kubisha, bali walitoa taarifa kwamba majirani wanasema moja, mbili, tatu. Kazi ya kukanusha au kukubali ni yake yeye Menina; na pia kama anaona hao majirani wamemchafua basi awashtaki hao.
Jamaa angu punguza kula kande la mawese,hicho kipindi hata Leo huko DSTV kimeonyeshwa na wambea wenzako walikua wanakiangalia hapa sebuleni.M=narudia tena katafute wtu wa DSTV(kama unajuan anao lakini isije ikawa uko nanjilinji huko ndiyo maana ukisikia watu wamekuwa sued kwa milioni 100 unashtuka sana) hivi hata kesi za Musiba na kina fatma karume na Benard membe husikii yale mabilioni yanayodaiwa? ina tofauti gani na Menina? au Ray? au sababu hawa ni wasanii?
Kamtafute Salumu maliki au Shelukindo wa dstv waulize issue ya Ray kigosi, wenzako kesi kama hizi wanakula na mahakimu kabisa na wanasheria wanazisimamia kucha hata asipoapata hiyo bilioni anaweza angukiaa hata milioni 300
Kama Dstv hawajatikisika mbona kipindi cha ICU hawakitangazi tena ,mbona wahusika kina Mairmatha na juma lokole kwenye pages zao hawakitangazi tena? unajua Menina aliwalaza kituoni mabatini police?
Kwani mimi nimesema washtakiwa waandishi /watangazaji wa chombo husika? La hasha. Hapa tunaongelea chombo husika au aliyenukuluwa ndio ashtakiwe?Kwani gazeti likichapisha taarifa za uongo.
Anafungiwa mwandishi wa habari hiyo au gazeti
una hakika Dstv unajua ni nini ndugu yangu? we endelea kuangalia movie za Juma khan za kutafsiri kwenye mabanda ya kuku huko nanjilinjiJamaa angu punguza kula kande la mawese,hicho kipindi hata Leo huko DSTV kimeonyeshwa na wambea wenzako walikua wanakiangalia hapa sebuleni.
Musiba ndio ameshtakiwa kwa kauli alizotoa yeye na kuzichapisha, sio kwa kuchapisha alichosema mtu mwingine, sasa mshtakiwa atashtaki nini tena wakati yeye ndiye mshatakiwa, arguement yako inakosa logical basisMbona Musiba alivyoshtakiwa hakushtaki wachapishaji wa gazeti? ilikuwa ni lazima? kesi ikianza hao kina Juma lokole ndiyo watenda kuwaleta hao majirani kama mashahidi na source ya habai yao ambayo haikuwa balanced
By the way ushawahi kuona presentation ya kipindi chao, siyo kwamba wana report wanshadadia na hukumu wanatoa hapohapo
Kwani hilo ni kosa la Dstv kwamba hao majirani ni makapuku?, what nonsense is this , jamani?!Majirani watatoa wapi 1.2bil
Basi kumbe Bashite alikuwa na haki kuwavamia hawa kina kwisa pale clouds maana Ruge alikataa kipindi kiruke hadi gwajima ahojiwe ili story iwe balanced sijui kama kwenye hili menina alipewa haki ya kimsingi kusikilizwa na kuhijiwaMusiba ndio ameshtakiwa kwa kauli alizotoa yeye na kuzichapisha, sio kwa kuchapisha alichosema mtu mwingine, sasa mshtakiwa atashtaki nini tena wakati yeye ndiye mshatakiwa, arguement yako inakosa logical basis
Majirani waataitwa mahakamani kama mashahidi wa waandishi nguli nchini (juma lokole,kwisa,mairmatha)Kwani hilo ni kosa la Dstv kwamba hao majirani ni makapuku?, what nonsense is this , jamani?!