Meno ya Diamond Platnums ni shs milioni 11

mwache kijana ale maisha!!!!
ponda mali kufa kwaja
watu wanatumia pesa zinawazoea....
mR nice huwezi mfananisha na Platinumz
........muwie Radhi kijana wa watu!!!
wakati umefika kila mtu afanye yake!!!!
 
mwache kijana ale maisha!!!!
ponda mali kufa kwaja
watu wanatumia pesa zinawazoea....
mR nice huwezi mfananisha na Platinumz
........muwie Radhi kijana wa watu!!!
wakati umefika kila mtu afanye yake!!!!
Kuweka mimeno ya bandia ndiyo kula maisha?
 
Nimekurupuka huko mbio mbio nikazania Diyamondi jino lake moja linauza 11 milioni kwa 32 ni milion 352 nikasema kimoyomoyo hewalaaaaaa what an opportunity !!! Kumbeeeee wabongo bwana.
 
Nilichokuambia ni kwamba suala la kujitosheleza halipo standard! Sio kwamba kujitosheleza kwa X ndio kwa Y, Z n.k!

That's one, second watu wengi mnachanganya mambo kwa kudhani kile unachoona wewe ndo best investment alternative na mwingine aone hivyo hivyo! Kuna mwingine hata apate mamilioni mangapi hawezi ku-invest kwenye biashara lakini ata-opt kununua viwanja au nyumba! Kinyume chake, mwingine ataamua kuuza nyumba yake ili afanye biashara! Hapo hakuna aliye bora kumzidi mwenzake... ni suala tu la nini yeye anaona ni muafaka kwake! Sasa unless kama unafahamu shughuli zote za Diamond vinginevyo utakuwa very wrong kudai badala ya kuwekeza ananunua meno ya bandia ya mamilioni!

In addition, the guy is musician anayelipwa kwa show! Sasa kama ulikuwa unaota kutaka kutoa offer ya 10 Million kwa show; unagundua mdomoni kaweka mamilioni!! Hapo hapo unajua huyu sio cheap musician! By the way, ikiwa aliweka gold plated sinks washroom nini kinakushangaza kuweka meno?
 

Mama kujipenda ni sehemu ya Maisha , tukianza kusema Hivi mwisho wa Siku tutavaa matambara, Kama Leo katoa madawati ya Mil 42, muache tu anunue hayo meno ni Kama Kuwa na hela ya mboga tu , kumbuka pia na juzi kanunua nyumba kunduchi na level zake ni Za juu , Hiyo ni mojawapo ya marketing strategy pia
 
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Halafu hapa unatakiwa kufahamu jambo moja... life style ya Diamond na Mr. Nice ni tofauti kabisa! Diamond sio mtu wa starehe... ukitaka kumfanyia kitu kibaya halafu ukawa unamlia timing kwenye kumbi za starehe; fahamu utazunguka huko mwaka mzima na hutamuona! Kinyume chake, Mr. Nice alikuwa limbukeni... alikuwa anashindana na starehe za mjini! Na wakati ule ilikuwa kila anapoingia Mr. Nice lazima mtajua tu! Kwahiyo unalinganisha watu wawili tofauti, tena kwa zaidi ya 75%! Mmoja ni mponda maisha na vijana wenzake kwenye kumbi za starehe na mwingine anakula maisha na familia yake nyumbani!
 
Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.
Pole sana kwa Mr. Nice, Je mama unajua Diamond anainvestments ngapi?na hizo investments zake zina thamani gani?Ukishajua thamani ya investment na hela zake then toa mil 11 you will be in a position ya kudge mama, ili hoja yako iwe na mizania nzuri ungefanya cost benefit analysis then ungeonekana umetoa hoja nzuri, hiyo mil 11 inaweza ikawa kama elfu kumi kwako mama
 
Unajua kuna watu wanaishi kupangia watu namna ya kuishi wakati nao maisha yao ni ya kuunga unga...utakuta myu kutwa fulani matumizi yake mabaya,ni mlevi and so forth utadhani wao ndo mafinancial controller wa mhusika!
Kabisa, yaani wanataka uishi kama wao wakati wenyewe hawana uhakika hata wa maisha , yaani wapo full kukosoa kwa kila jambo
 
Teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…