Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuweka mimeno ya bandia ndiyo kula maisha?mwache kijana ale maisha!!!!
ponda mali kufa kwaja
watu wanatumia pesa zinawazoea....
mR nice huwezi mfananisha na Platinumz
........muwie Radhi kijana wa watu!!!
wakati umefika kila mtu afanye yake!!!!
Nilichokuambia ni kwamba suala la kujitosheleza halipo standard! Sio kwamba kujitosheleza kwa X ndio kwa Y, Z n.k!Kuna swali gani hapo sasa? Wewe umeonesha kuwa una ueleweka wako juu ya kujitosheleza. Ndiyo maana ukauliza hajajitosheleza nini, which means una uhakika kuwa kajitosheleza. Sasa hapo nitakujibu nini zaidi ya kuanza kubishana. Na mimi si mshabiki wa kubishana kwasababu ni mfuasi wanasaikolojia kama Dale Carnegie aliyesema "the best way to win an argument is to avoid it"
Msanii Diamond leo amefunguka kupitia kipindi cha XXL kuwa thamani ya meno yake ya bandia ya dhahabu ambayo amekuwa akionekana nayo siku za karibuni ni shs milioni 11.
My perception: Hivi wasanii wa kibongo mtajifunza lini kuwa na financial discipline? Yaani umetafuta hela kwa kujinyima ukianzia maisha magumu halafu leo mambo yamekunyookea unaanza kutumiatumia ovyovyo kama mtu usiyejielewa?
Mr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.
Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Dimond asiye na financial discipline leo kadonate madawati yakutosha kwa shule za Dar es Salaam nasubiri ninyi wenye nidhamu ya matumizi muige mfanowe?
Hivi wajuvi kuna tofauti gani kati ya bankruty na insolvency?jamaa (50) si alifile for bankruptcy????????kwene ile kesi yake ya juz kat[emoji56] [emoji56]
50 Cent Tells Bankruptcy Court Piles of Cash in Photos Were Fake
Log In
50 Cent’s bankruptcy lawyer argues he must appear rich because rap fans are poor
Here’s how 50 Cent went broke | New York Post
Ndio sehemu ya kula maisha hiyo, wewe mbona hata moja hauna wanguKuweka mimeno ya bandia ndiyo kula maisha?
Sina nini? Jino la bandia?Ndio sehemu ya kula maisha hiyo, wewe mbona hata moja hauna wangu
Halafu hapa unatakiwa kufahamu jambo moja... life style ya Diamond na Mr. Nice ni tofauti kabisa! Diamond sio mtu wa starehe... ukitaka kumfanyia kitu kibaya halafu ukawa unamlia timing kwenye kumbi za starehe; fahamu utazunguka huko mwaka mzima na hutamuona! Kinyume chake, Mr. Nice alikuwa limbukeni... alikuwa anashindana na starehe za mjini! Na wakati ule ilikuwa kila anapoingia Mr. Nice lazima mtajua tu! Kwahiyo unalinganisha watu wawili tofauti, tena kwa zaidi ya 75%! Mmoja ni mponda maisha na vijana wenzake kwenye kumbi za starehe na mwingine anakula maisha na familia yake nyumbani!Diamond ajue tu kuwa historia ina tabia ya kujirudia. Lakini ana nafasi ya kubadilika akiamua kufanya hivyo.
Pole sana kwa Mr. Nice, Je mama unajua Diamond anainvestments ngapi?na hizo investments zake zina thamani gani?Ukishajua thamani ya investment na hela zake then toa mil 11 you will be in a position ya kudge mama, ili hoja yako iwe na mizania nzuri ungefanya cost benefit analysis then ungeonekana umetoa hoja nzuri, hiyo mil 11 inaweza ikawa kama elfu kumi kwako mamaMr Nice aliwahi kuwa na hela nzuri sana miaka ya mwanzoni ya 2000, lakini kutokana na matumizi mabaya na kushindwa kuwekeza leo hii nasikia hana chochote cha maana.
Well said Chige, tunapotaka kuwalinganisha watu ni vizuri tukawalinganisha watu wanaofanana piaKwahiyo unalinganisha watu wawili tofauti, tena kwa zaidi ya 75%!
Unajua kuna watu wanaishi kupangia watu namna ya kuishi wakati nao maisha yao ni ya kuunga unga...utakuta myu kutwa fulani matumizi yake mabaya,ni mlevi and so forth utadhani wao ndo mafinancial controller wa mhusika!Haaaa haaaa Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu mkuu
Sasa Jane unauhakika gani kama mpunga wa jamaa hauongezeki?Issue siyo kuwa na mpunga. Issue ni kufanya mpunga uendelee kuongezeka hata bila kufanya kazi. Muziki una mwisho.
Kabisa, yaani wanataka uishi kama wao wakati wenyewe hawana uhakika hata wa maisha , yaani wapo full kukosoa kwa kila jamboUnajua kuna watu wanaishi kupangia watu namna ya kuishi wakati nao maisha yao ni ya kuunga unga...utakuta myu kutwa fulani matumizi yake mabaya,ni mlevi and so forth utadhani wao ndo mafinancial controller wa mhusika!
Inaongezeka lakini itafikia kipindi atakwamaSasa Jane unauhakika gani kama mpunga wa jamaa hauongezeki?
Kila mtu aishi atakavyo ilimradi havunji tu sheria za nchi, maisha yenyewe yako wapi bwanaaa!Kabisa, yaani wanataka uishi kama wao wakati wenyewe hawana uhakika hata wa maisha , yaani wapo full kukosoa kwa kila jambo
Teh teh teh!Kipato cha Diamond kinakuwa overstated most of the time. Na hii inatokana na tabia hatarishi tuliyojijengea kuwa ishara ya kuwa na pesa ni kumiliki magari. Ndiyo maana kuna
mdau hapohapo juu ametoa mfano wa Diamond kumiliki number plate yenye jina lake ni ishara ya kuwa ana hela.
Hela ni idea na ili iwe sustainable ni lazima uwe na vyanzo vya mapato ambavyo vitakuingizia hela hata kama umelala. Diamond hafanyi jitihada zozote kuwekeza kwenye eneo hilo la kupata hela. Badala yake anahangaika kusign wasanii wapya. Sasa hao wasanii wakiisha kisanii itakuwaje?
Haaa haaa wewe unajuaje kama Diamond hajajitosheleza, ana thamani kiasi gani Now?Diamond amejitosheleza nini hadi afikie hatua ya kutumia mil 11 kununua mimeno ya bandia?