Men's Fashion: DOs and DONTs

Men's Fashion: DOs and DONTs

Nope! I used to wear baggy jeans and over-sized tees...but, sasa nipo ndani ya regular and straight tu...tees za kawaida, mashati ya draft draft....na mountain creek boots...Timberland chukka boots...
Mkuu tuna taste sawa...ila mi ni mgonjwa wa Tim 6" boots
 
Kuna kipindi nilipita kuangalia tu hilo duka...ni kweli wana Levi's nzuri, ila bei zao kibongobongo ni nuksi. Walikuwa wanauza jeans kwa laki 1 hadi laki 2. Hiyo ni miaka karibu 5 iliyopita...
Mkuu hao jamaa bei zao sio rafiki kabisa....
 
Do...equip your self with knowledge. Gotta know what to say, when and how to say it. Stuff that come outta your head/mouth can overshadow your slick/lame looks.

Don't...ever text like retard. We live in a digital world, so texting adds to your style and character. 'til "x" officially replaces "s", text like a real man.
 
Wanawake huwa tunanunua vitu na kuvaa ili kuringishiana wenyewe (wanaume wengi hawajui vitu vya kike). What about you men? Maana kama wengine hapa me ntakwambia tu yule mkaka katoka mwaah, hayo mambo ya levis sijui nini ni hadi nisome label na hata naweza nisielewe kama ndo hot brand teh. Au me tu ndo mshamba wa kinyaki? atoto wewe ukimuona mkaka unaweza kujua kavaa brand gani au ushazoea tu swagga za mashemeji zako
 
Huitaji kusoma label,kama ni vitu vyako unajua tu hii yenyewe.
 
Back
Top Bottom