RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Andaa kama tzs 150,000 kwa moja.Na kuhusu bei zake vipi mkuu....maana nataka nijikakamue nikatungue japo tatu tu....maana hii mijinzi ya kichina haikawii kupauka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa kama tzs 150,000 kwa moja.Na kuhusu bei zake vipi mkuu....maana nataka nijikakamue nikatungue japo tatu tu....maana hii mijinzi ya kichina haikawii kupauka....
Mkuu tuna taste sawa...ila mi ni mgonjwa wa Tim 6" bootsNope! I used to wear baggy jeans and over-sized tees...but, sasa nipo ndani ya regular and straight tu...tees za kawaida, mashati ya draft draft....na mountain creek boots...Timberland chukka boots...
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh.....!!!!!!!Andaa kama tzs 150,000 kwa moja.
Mkuu hao jamaa bei zao sio rafiki kabisa....Kuna kipindi nilipita kuangalia tu hilo duka...ni kweli wana Levi's nzuri, ila bei zao kibongobongo ni nuksi. Walikuwa wanauza jeans kwa laki 1 hadi laki 2. Hiyo ni miaka karibu 5 iliyopita...
Mkuu ndio bei zake......Sasa hapo ukitupia na t-shirt ya Lacoste original ni tzs 180,000 ingine!Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh.....!!!!!!!
Pink ndio new fashion kwa men ila usivae pink ambayo imekolea pink mpauko inafaa kwa wanaumeKama mwanaume usivae nguo ya pink.
Maweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!................Mkuu ndio bei zake......Sasa hapo ukitupia na t-shirt ya Lacoste original ni tzs 180,000 ingine!
Hahaha mpwaaaaaaaaaMaweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!................
Unasemaje mpwaa.......itabidi niendelee kuvaa kanzu tu na vizibao maana hizo sarawili hazishikiki.....Hahaha mpwaaaaaaaaa
Hahaha baki tu huku huku mpwa, mbona me nakukubali tu ndani ya kanzuUnasemaje mpwaa.......itabidi niendelee kuvaa kanzu tu vizibao maana hizo sarawili hazishikiki.....
Hahahaaaaa.....sawa mpwa kanzu zikichafuka utaniazima madera yako ili niendeleze fashion...Hahaha baki tu huku huku mpwa, mbona me nakukubali tu ndani ya kanzu
Hahaha basi itabidi nikinunua madera sasa hivi nisiwe nayabana ili yatutoshe wote. Ntakuazima tu mpwaHahahaaaaa.....sawa mpwa kanzu zikichafuka utaniazima madera yako ili niendeleze fashion...
Nitashukuru sana mpwa.......Hahaha basi itabidi nikinunua madera sasa hivi nisiwe nayabana ili yatutoshe wote. Ntakuazima tu mpwa
Na ubahiri.
Huitaji kusoma label,kama ni vitu vyako unajua tu hii yenyewe.Wanawake huwa tunanunua vitu na kuvaa ili kuringishiana wenyewe (wanaume wengi hawajui vitu vya kike). What about you men? Maana kama wengine hapa me ntakwambia tu yule mkaka katoka mwaah, hayo mambo ya levis sijui nini ni hadi nisome label na hata naweza nisielewe kama ndo hot brand teh. Au me tu ndo mshamba wa kinyaki? atoto wewe ukimuona mkaka unaweza kujua kavaa brand gani au ushazoea tu swagga za mashemeji zako
Bro we nimekuelewa..My best casual....
Muda wa kukimbizana na suti uzeeni huko, ofisini kuchomekea kawaida tu... makoti tutavaa harusini