Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Kwa kweli
Natakaga nitoke JF mazima, nikiwawaza wee, dada kyuti na antonnia, moyo unasema rudiii ndaniii JF. naclick log in.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itatangazwaaa miez 3, wenye pingamizi wajitokezee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harusi ninayooo mbna.
Wanasemaga kuwa ukichepuka siku moja kabla ya harusi ni raha sana. vipi kwa upande wako?
 
Wanasemaga kuwa ukichepuka siku moja kabla ya harusi ni raha sana. vipi kwa upande wako?
Week 2 kabla ya harusi tutakua na baba tamuu pre honeymoon, ikipita harusi ni honeymoon enyewe, ntachepuka mda gan sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapanaaa!!! Baba tamuu anatoshaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], afu wee citizens mwenzangu,
Siku ya harusi uje umevaa uzi wa city ule wa 3.

Itakua poa sanaa.
Haya we usiibe sasa hivi usubiri uibe kwenye ndoa ukamatwe.
 
Natakaga nitoke JF mazima, nikiwawaza wee, dada kyuti na antonnia, moyo unasema rudiii ndaniii JF. naclick log in.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe baki JF tufurahi, kwanza utoke mumeo umuachie nani??
Alafu shem alisema ole wako uuze id hiyo hawezi kukuelewa, km una shida ya pesa useme.
Pesa zake zipo kwaajiri yako na huwezi kuzimaliza [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom