Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Maneno ya shombo kwa yule kiumbe yanakatwa yote.!! Yule ni ndimu mkata shombo oohhh
staki mimi,,wacha ashinde๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sema napendaga shombo zake, humkuti kachangamana na wanawake anapeana udaku.!! Yeye ni spana tyuu.!!

Wanaume michele michele waige kwake kina viksi kingo
Sawa endelea kumpenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ Wasalimie huko Dodoma vipi baridi lakini au Kuna joto ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
Nashindwaga kuelewa na kuzoea hili sijui ni baridi au ni upepo ila upepo wa Dodoma ni hatari unanyanyua Hadi mchanga unakuchapa nao ๐Ÿ˜ช
 
Back
Top Bottom