Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Uongo ๐น๐น๐นWala hata, mm tangu zamani naelewaga viumbe weusi
Komaa pamebaki padogo sana ujichukulie kombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo ๐น๐น๐นWala hata, mm tangu zamani naelewaga viumbe weusi
Marhabaa mdogo anguShikamoo odo
๐๐๐Akikubali namuonesha PM zenuUongo ๐น๐น๐น
Komaa pamebaki padogo sana ujichukulie kombe
Kwanza hata hanifaham mweeeeeSema lazima useme hivyo si unamlia timing ๐น๐น
Unajitahidi kuiomba
staki mimi,,wacha ashinde๐๐พ๐๐พ๐๐๐๐น๐น๐น Maneno ya shombo kwa yule kiumbe yanakatwa yote.!! Yule ni ndimu mkata shombo oohhh
No thank youKaribu sana kariakoo
Alafu si umeona kule.... Nime kutagHahahaaaa ๐๐๐๐๐ i am here to oppose the motion which states that education is better than money. THANK YOU TIMEKEEPER ๐๐
Cc: Poor Brain
Mpuuzi weye ๐๐๐Nipo hapa.... ๐๐๐๐
jinga๐๐Alafu si umeona kule.... Nime kutag
๐๐ Wasalimie huko Dodoma vipi baridi lakini au Kuna joto ๐๐Adabu umeiacha wapi? Nitakubamiza live live.
we kwa kila mtu unanibwaga tu๐๐๐Si ndo mnafahamiana hapo hapo mkionana ๐
Kwema dada yangu upo gudi ?Hi kaka Vin
nna heavy kizunguzungu, naogopa kuangukw๐Utaki kuishi juu ya ghorofa Odo ๐๐
Sawa endelea kumpenda ๐๐๐๐๐๐๐๐ Sema napendaga shombo zake, humkuti kachangamana na wanawake anapeana udaku.!! Yeye ni spana tyuu.!!
Wanaume michele michele waige kwake kina viksi kingo
Asante sana dogo๐๐๐๐๐Polee Odo
Nashindwaga kuelewa na kuzoea hili sijui ni baridi au ni upepo ila upepo wa Dodoma ni hatari unanyanyua Hadi mchanga unakuchapa nao ๐ช๐๐ Wasalimie huko Dodoma vipi baridi lakini au Kuna joto ๐๐