Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Mimi kwangu hainivutii kabisa ,nishaziona live ikipita kwa road 2m away....Ila Range Autobiography aiseee ni hatari unyama ni mwingi....Ni bora ninunue Autobiography 3 kuliko wagon 1.

View attachment 3046835

View attachment 3046839
View attachment 3046840
Mimi nimekuelewa kuwa haikuvutii ila usiwakosoe Mercedes Benz mkuu ni kuwavunjia heshima..ila kwenye uchaguzi unaweza kuchagua kitu chochote unachokipenda wewe...Range nazo ni gari nzuri pia mimi jamii hizo siwakosoi ni kupata hela na kuvuta iliyopo mbele..
 
Back
Top Bottom