Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Ingesaidia sana kama ungetoa na mchanganuo wa hiyo 20m!

✓Labda ni nauli tu?
✓Ni hela ya kujikimu kwa mwezi mmoja wakati ukipambana kutafuta kazi?
Kama ni kuja kwa njia za kujilipua basi itabidi ukatishe border nyingi na kila mahali ni risk ila ni bahati ya mtu
Hiyo 20 ni kupita pita sehemu, kutapeliwa, kufungwa ila wengine wanatereza tu

Kila mmoja na bahati yake boss
Wengine wanapata sponsor, wengine wanabebwa na mazee wakiwa kama beach boys 😄
Na wengine wanaingia kusoma wakiwa na kila kitu
Hapo unachagua uanze na njia ipi
Unaona Wahabeshi na Wasomali wanaopita Bongo huwa wanapita kama samaki na vyura kwenye mkondo wa maji, yaani popote watakapokwama au kufika ndio hapo hapo ila malengo yao wafike mwisho wa safari

Wengine wanatoboa na wengine wananyang'anywa kila kitu chao na kufungwa kwenye viroba

Kama alivyosema yule jamaa kuwa ni wakimbizi hao yaani kama sio binadamu
Nakuombea kila la kheri maana naona wahabeshi wanakatisha majiji ya 🇬🇧 na unaona kabisa hawa ni fresh maana wa kuja utamjua hata anavyotembea 😄 ila wametoboa na wamepita bongo

Mipaka imetengenezwa na mzungu ila ukitaka kufika mahali hakuna cha uhamiaji wala nini

Good Luck buddy
 
Hakuna gari mpya niliyoendesha ina zero mile
Ya chini kabisa ilikuwa Audi Q8 ilikuwa na 3 miles tu

Waswahili ndio wameleta huo msemo wa zero km 😄
Gari lazima lijaribiwe kiwandani na matairi lazima yazunguke
Kiwandani wakishamaliza majaribio wana reset odo. Hizo 3,5,6 miles unazokuta ni delivery mileage. Mfano kushushwa kwenye meli linapakiwa kwenye tow truck then wanaingiza show room, Tanzania wanaliendesha hadi show room.
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Mahesabu yangu kwa sasa ni hili brabis 800
mercedes-benz-gls-class-brabus-800-hp-4-0-gls63h-v8-biturbo-amg-night-edition-executive-113111...jpg
 
Kazi hii hapa..
Mkuu aiseee ,kwani Youtube kazi yake ni nini? Kuna tofauti nikiiona Youtube na Live?
Mkuu acha zako bhana atuendeshi gari YouTube ndio maana ukienda Yard za wenzetu wana test and drive hata kama haujalipia hata cents ili uione gari unayotaka kununua kwa kuindesha hata iwe mpya yenye 5km kwenye dashboard...yote kwa yote hilo G Benz ni jiwe haswa mzee baba...
 
Kazi hii hapa..

Mkuu acha zako bhana atuendeshi gari YouTube ndio maana ukienda Yard za wenzetu wana test and drive hata kama haujalipia hata cents ili uione gari unayotaka kununua kwa kuindesha hata iwe mpya yenye 5km kwenye dashboard...yote kwa yote hilo G Benz ni jiwe haswa mzee baba...

Mimi kwangu hainivutii kabisa ,nishaziona live ikipita kwa road 2m away....Ila Range Autobiography aiseee ni hatari unyama ni mwingi....Ni bora ninunue Autobiography 3 kuliko wagon 1.

1721454918766.png


1721455035909.png

1721455253507.png
 
Back
Top Bottom