GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Mnachonikasirisha nyie madiaspora ni kwamba mna "maideas" mazuri ila mmeyakalia tu huko duniani! Unafikiri wanayajua hayo unayoyazungumzia?Nashangaa sijui kazi ya Mayor wa jiji ni nini huko
Labda wamuajiri Sunak awe Advisor kwenye uchumi wenu
Kama Kagame alivyomuajiri Tony Blair mwaka 2008 tena unpaid ila siamini
Mkuu Kariakoo tu ikiwekwa cameras kama za london na kuhakikisha kila usafiri unaoingia unalipia mbona TRA wasingesumbua wafanyabiashara wadogo
Ukosefu wa ubunifu ndio unasababisha wakamate mpaka Malaya
Waniajiri hata mimi ningewaweka sawa na baada ya miaka mitatu hata ajali zingepungua kwa 60%
Zote hizi ni point:
1. Kumuajiri Sunak
2. Camera
3. Kumuajiri Black Sniper, ingawa kwa mfumo uliopo, nahofia ukishaingia tu na wewe unaweza ukaanza kuitikia nyimbo utakazozikuta zikiimbwa.