Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

870 mill bila ushuru, ukiongeza ushuru billion na poing zake.. zile chuma kubwa sana, ila naona zilo na luxury kubwa sana.. walikuwa wanafanya comarison na S680 naona S alikalishwa chini.. V8 sport naona lipo la V12 au W16 kama sijakosea
Watu wanapigwa sana kwenye ushuru
Yaani wqnashindwa kubuni njia zingine za kuongeza mapato
 
roho mbaya tu za watu hasa wenye kutunga hayo masheria ya kodi. tungekuwa na viwanda ndani hapo sawa tungesema wanatengeza mazingira tununue vya ndani. mtu una mtoza ushuru sawa na bei aliyonunulia dah
Tukitoa ushuru wengi wenu mtanunua na wengi wenu ukinunua dola itaenda nje sana. Mwisho wa siku tutakuwa hatuna dola. Kitachopelekea kushuka kwa shilingi na kushindwa kulipa madeni.
 
Dollar, nchi ilitakiwa iuze vitu nje, sio kuongeza ushuru. Ongezeko lao la ushuru na uhaba wa dollar havihusiani.. maana huo ushuru bado unalipwa kwa local sarafu..
 
Uzuri wa gari, ni uwe nayo mwenyewe!
Mercedes Benz G Wagon.png
 
Hilo li Gari lisikie tuu kwa Jirani mimi nililitoa Dar mpaka Namanga mshale wa Mafuta na wa Speed kama vinashindana lile nilioliendesha lina kama cc 5000 kama sikosei halafu ni Petrol nilishindwa kupiga hata nyoka UMASIKINI MMBAYA
 
roho mbaya tu za watu hasa wenye kutunga hayo masheria ya kodi. tungekuwa na viwanda ndani hapo sawa tungesema wanatengeza mazingira tununue vya ndani. mtu una mtoza ushuru sawa na bei aliyonunulia dah
Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bure
Nikaona isiwe shida gari ya 2010 niangalie ushuru ikagonga 10m nikaona upumbavu huu ingawa ya bure
Acha ikavunjwe vunjwe na mashine tu
Sio roho mbaya boss ni wajinga wasiojua mbinu zingine za kuingiza mapato serikalini

Sadiq Khan anatubamiza ila ndio kachaguliwa kwa mara ya 3 kuwa Mayor
Kwa sababu anaingizia serikali kwa siku zaidi ya £4m kama sikosei zidisha kwa sh 3000
 
ilikuwa gari gani mkuu ?
Kukosa ubunifu maana yake tunaishia kwenye state ambayo ime fail
 
Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bure
Nikaona isiwe shida gari ya 2010 niangalie ushuru ikagonga 10m nikaona upumbavu huu ingawa ya bure
Acha ikavunjwe vunjwe na mashine tu
Sio roho mbaya boss ni wajinga wasiojua mbinu zingine za kuingiza mapato serikalini

Sadiq Khan anatubamiza ila ndio kachaguliwa kwa mara ya 3 kuwa Mayor
Kwa sababu anaingizia serikali kwa siku zaidi ya £4m kama sikosei zidisha kwa sh 3000
Mkuu upo London?
 
Sadiq Khan anaingizaje £4m? Kwa shughuli zake binafsi?
 
Nimeendesha Benz tofauti tofauti na sijawahi kujutia hata siku moja
Kwanza Wajerumani wana umakini sana katika kufanya mambo yao na ndio maana vitu vyao ni bei juu
Hata ujenzi na kila kitu
Kama unataka nyumba waliyoipaki wanakuletea na kuijenga kwako kama mnavyoona Sanlg wanavyofunga 😄

Hizi G Wagon hata Pope aliagiza mwaka 1980 tena aliundiwa yeye na madoido kibao

Kwanza iko juu kuliko gari zingine ina 7G tronic gearbox, na permanent wheel drive

Kuna jamaa mmoja Ganther Haltorf aliendesha G Wagon nchi 215, na maili 559,234 na haikuharibika hata siku moja
Heshima kwa Benz hata kama la zamani

G Wagon lipo kwenye orodha
Nchi 215?
Alitia fora! Anastahili pongezi japo ni kwa hisani ya G Wagon.
 
Back
Top Bottom