Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

Car4Sale Mercedes Benz ipo sokoni

picha zake mzee
Screenshot_20221227-114516_Chrome.jpg
 
Ndinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake


Gari ina sifa zifuatazo

Gari ni ya kuchaji(12v battery)

Inawashwa na funguo

Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe

Ina music system(Usb port,children songs)

Milango inafunguka

Inawaka taa za mbele na nyuma

Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10

Price:320,000/=

Tunapatikana Tabata Dar es salaam

Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]

Call/Whatsapp:0764108259View attachment 2459585
Chukua 200,000 nimtume kijana aichukue faster. Niko hapa Kinyerezi mwisho.
 
Back
Top Bottom