kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
hivi siwezi kupata za watu wazima kuanzia miaka 27 hivi mpaka 45 ila bei icheze humo humo laki tatu na ishirini naweza mwaka mpya nikauanza kivingine
nasubiri majibu
nasubiri majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kupata lakini sio kwa bei hiyohivi siwezi kupata za watu wazima kuanzia miaka 27 hivi mpaka 45 ila bei icheze humo humo laki tatu na ishirini naweza mwaka mpya nikauanza kivingine
nasubiri majibu
Benz si benz tu mkuu au kisa yangu haina engine[emoji28]Hio heading sasa......
picha zake mzeeUnaweza kupata lakini sio kwa bei hiyo
Kwa maelezo yako inabidi upate Go kart ambayo ina range kwenye 900k hadi 1m
picha zake mzee
picha zake mzee
picha zake mzee
bei yake shingapi hiyo
1.3mbei yake shingapi hiyo
inatumia mafuta au umeme1.3m
Chukua 200,000 nimtume kijana aichukue faster. Niko hapa Kinyerezi mwisho.Ndinga kali kwa ajili ya mtoto wako ipo sokoni,changamkia fursa mtoto afurahie likizo yake
Gari ina sifa zifuatazo
Gari ni ya kuchaji(12v battery)
Inawashwa na funguo
Mtoto anapanda na kuendesha mwenyewe
Ina music system(Usb port,children songs)
Milango inafunguka
Inawaka taa za mbele na nyuma
Inafaa watoto wa umri wa miaka 1-10
Price:320,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es salaam
Tunafanya delivery popote Tanzania [emoji1241]
Call/Whatsapp:0764108259View attachment 2459585
Fanya 300 kamiliChukua 200,000 nimtume kijana aichukue faster. Niko hapa Kinyerezi mwisho.
Hio heading sasa......
Za watu wazima anauza Tesla ila sio bei hiohivi siwezi kupata za watu wazima kuanzia miaka 27 hivi mpaka 45 ila bei icheze humo humo laki tatu na ishirini naweza mwaka mpya nikauanza kivingine
nasubiri majibu
Inashauriwa kuendeshwa maeneo ya nyumbaniSasa ataendeshea wapi???
Wamekutana na benz ya kina junia[emoji28]Wajerumani wamekuja fasta kuhakikisha hio benz ya 320K ni ya nchi gani maana Munich hamna model hio
750 kwa go kart hizo nilizokuonesha?