Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Mzuka wanajamvi!

Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market.

Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic.

Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8.
na utitiri wa kuorder unaendelea.

Bei inaanzia dollars za kimarekani laki moja hadi zaidi ukitaka uongezewe mbwembwe.View attachment 1921489View attachment 1921490View attachment 1921491View attachment 1921492
Hizi gari ndio za kuingiza watoto wakali
 
Back
Top Bottom