Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

Elon Musk mjanja juzi kaenda Ujerumani kufungua kiwanda kikubwa cha Tesla kitakachogharimu dollars billion 6. Napenda sana hawa watu wanavyoshindana kwenye biashara.
Wajerumani hawana mpinzani kwenye Mechanical engineering. Napenda sana jinsi unavyofuatilia na kutarifu kuhusu current issues.
 
Mkuu huwezi kupata tesla chini ya dollars elfu 60. Iyo si nafuu

Siyo nafuu kwako kapuku mwenzangu. Ulaya watu wana jeuri ya Pesa. Nakuambia Tesla imejaa mitaani Ulaya. Kipindi fulani niliamua kufanya utafiti wangu mdogo tu, kwa kuhesabu Tesla barabarani kwa saa.

Matokeo ya haraka ni kwamba ndani ya dakika sitini nilihesabu Tesla 20. Kama ni bei, basi ni ghali kwa makapuku ila siyo Ulaya.
 
Kweli ni mengi ulaya na ndio ilivunja rekodi mwezi wa sit Uingereza kununuliwa kwa wingi. Zilinunuliwa 5000 mwezi huo
 
Tesla bado watatawala soko kwani wana faida ya uvumbuzi. Ulaya Tesla imenyaka soko. Kila kona ni Tesla tu!
Soko kubwa la magari ya Tesla lipo China na sio barani Ulaya.
Kwa sababu China inaexperience mabadiliko ya hali ya hewa ( Climate Change) kwa hali ya juu kulinganisha nchi nyingine za barani Ulaya.

Lakini ni kati ya nchi zenye sheria kali za mazingira kulinganisha nchi nyingine kwa hiyo wanapambana sana kupiga vita uchafuzi wa mazingira na kusisitiza matumizi ya nishati mbadala kwa kiwango cha juu kulinganisha na nchi nyingine za barani ulaya.

That's why Tesla Dominate Chinese Car market than European Car Market.
 
Back
Top Bottom