Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mchina na mjapani hawatato copy?
Au tuzisubirie tu Befoward
Wachina wana gari za umeme muda mrefu tu, sema sio kwa masoko ya nje...pia wana vipikipiki vya umeme vingi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina na mjapani hawatato copy?
Au tuzisubirie tu Befoward
VW na Tesla ni 13% na 16% not much difference, na ni soko dogo sana bado.Tesla bado watatawala soko kwani wana faida ya uvumbuzi. Ulaya Tesla imenyaka soko. Kila kona ni Tesla tu!
Mjapan huwa hacopy, tech karibia zote kubwa duniani asili yake ni JapanMchina na mjapani hawatato copy?
Au tuzisubirie tu Befoward
Yani unaambiwa ndo ilikuwa the most anticipated car of the year 2021. Mimi panaponiacha hoi ni mlango kufungua kwa kubonyeza funguo.Aiseeeee hii kitu tamu wacha nimforwadie mtu atoe comment hizi ndo swaga zake.
Elon Musk mjanja juzi kaenda Ujerumani kufungua kiwanda kikubwa cha Tesla kitakachogharimu dollars billion 6. Napenda sana hawa watu wanavyoshindana kwenye biashara."Chuma Cha Mjerumani"
Hiki ndio wengi hawajui. Na mtandao wa charging ni kama wao asilimia zaidi ya 80%Tesla Wana miliki technology...
Wana autopilot..
Na vingi vingine
Mkuu huwezi kupata tesla chini ya dollars elfu 60. Hiyo si nafuuYetu macho ila angalia, Tesla inatoa magari ya bei nafuu.
Wachina wana gari za umeme muda mrefu tu, sema sio kwa masoko ya nje...pia wana vipikipiki vya umeme vingi mno
Wajerumani hawana mpinzani kwenye Mechanical engineering. Napenda sana jinsi unavyofuatilia na kutarifu kuhusu current issues.Elon Musk mjanja juzi kaenda Ujerumani kufungua kiwanda kikubwa cha Tesla kitakachogharimu dollars billion 6. Napenda sana hawa watu wanavyoshindana kwenye biashara.
Usikonde, kila mtu na ndoto zake!I imagine dream car yangu bado ipo version ya diesel 🥵🥵🥵
Mkuu huwezi kupata tesla chini ya dollars elfu 60. Iyo si nafuu
Sio hilo tu hata muonekano ni super.kwa kweli nimetamani, asante nineosha macho na nimeshawatumia watu wawili wenye mipesa yao.Yani unaambiwa ndo ilikuwa the most anticipated car of the year 2021. Mimi panaponiacha hoi ni mlango kufungua kwa kubonyeza funguo.
Kweli ni mengi ulaya na ndio ilivunja rekodi mwezi wa sit Uingereza kununuliwa kwa wingi. Zilinunuliwa 5000 mwezi huoSiyo nafuu kwako kapuku mwenzangu. Ulaya watu wana jeuri ya Pesa. Nakuambia Tesla imejaa mitaani Ulaya. Kipindi fulani niliamua kufanya utafiti wangu mdogo tu, kwa kuhesabu Tesla barabarani kwa saa.
Matokeo ya haraka ni kwamba ndani ya dakika sitini nilihesabu Tesla 20. Kama ni bei, basi ni ghali kwa makapuku ila siyo Ulaya.
Soko kubwa la magari ya Tesla lipo China na sio barani Ulaya.Tesla bado watatawala soko kwani wana faida ya uvumbuzi. Ulaya Tesla imenyaka soko. Kila kona ni Tesla tu!
Sio nafuu kwa makapuku kama sisi Mgerasi ila kwa wenzetu wenye maisha ni bei yakwaida ya kununulia baby walker.Mkuu huwezi kupata tesla chini ya dollars elfu 60. Iyo si nafuu
Mchina na mjapani hawatato copy?
Au tuzisubirie tu Befoward
Mchina siku nyingi ana gari za umeme na bei hazifiki 8m TZS, sema nadhani sababu jamaa anaudhaifu na quality ndio maana hazina promoMchina na mjapani hawatato copy?
Au tuzisubirie tu Befoward