Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Ha ha ha haaa vipi mkuu mbona kama unataka kuamini lakini unabishana na nafsi yako hujulikani ni moto au baridi
 
daaah asee nimevutiwa sana na huu uzi ningekuwa najua kingereza na me ningesoma vitabu ila daah! siwezi hata kusoma vitabu vya forex yan fursa zinanipita kisa kutojua lugha, inauma sana
Ha ha ha ha ha ha hatari sana mkuu mwenyewe nilikuwa mvivu sana now nimejikomit kusoma hata page 2 or 1 kwa siku nimejikuta naanza kupenda kusoma
 
Ontario tulijua anapata pesa nyingi lakini dhumuni letu sisi nikupata mafunzo sasa utasemaje tumepigwa pesa nakati mafunzo tumepata
Hebu kuwa mkweli.....hivi kweli toka mwanzo yani unataka kutuambia dhumuni lenu lilikuwa kupata mafunzo...??? (hapa unajipa sympathy)
Dhumuni na matarijio ya wengi toka uzi wa Ontarion wa Forex ilikuwa ni Ku-download pesa...period and long break
 
Duuh kuna watu mmebarikiwa kwa uchambuzi..

Big up mkuu..
 
Mh! Hongera Mkuu kwa hili bandiko lako labda kuna baadhi humu utawafumbua macho.
Kuna mtu humu anatumia nguvu nyingi sana kutetea, I don't know why?

Sio kila kinacholetwa na Ontario lazima kipokelewe in positive view, challenge lazima ziwepo!

Sasa mtu anashupaza mshipa wa shingo utafikiri ana kideri. Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…