AIDS ni laboratory engineered disease. Wameutengeneza wao kwa lengo flani.Eti wafanye yote washindwe kugundua dawa ya vvu aisee hawa jamaa ni minafiki namba moja ulimwengun !!
Ndo maana mimi niliuita mkusanyiko wa habari. Tatizo sisi waTz hatutafuti mambo vifaa vyetu kama simu , kompyuta na tablet hatuvitumii inavyotakiwa. Haya mambo yapo siku nyingi mitandaoni. Alichofanya Jeff ni kutafsiri na mpangilio wa story. Pia amewasaidia wengine ambao hawakufahamu hizi mambo.Mzee uwe unatumia akili...
Nani amuonee wivu?Nani anamjua in a personal level mpaka amuonee wivu?
Uelewe kua jamaa ni proven scammer!That you cant refute!
Mbwembwe za kutoa makala za kuelezea AI na futuristic innovations ambazo ni public knowledge sio issue hata kidogo.
Mada zimemzidi nani IQ?Unawajua watu wote humu na level zao academically mpaka wasiwe capable kuelewa story kama hizi?Sidhani kama unanielewa hata kidogo..Ni ujinga wa hali ya juu kama unadhani mtu kujua story za kitu katika end user perspective ndio IQ,tatizo lenu mtakua mangwini user/front-end perspective knowledge ndio mnadhani ndio kujua kila kitu.Thats cute,sasa mje na nondo za back-end,from ground up engineering transformation atom-to-atom of a product mpaka upate final user-ready product.Tufanye mfano mmoja tu wa teleportation system,walao tu-discuss possible engineering modellings which can possibly perform in real life conditions. Shida za gwini ndio hizi,akishajua habari ya kitu au technology on the surface anajua watu wengine wote wapumbavu.It is so sad.
Mimi nilikua mkali pale ninapoona,a known scammer Ontario is coming back again with some stupid washed-up articles trying to organize another group of fools to scam again.His real target ni cryptocurrency selling,the other paragraphs are just smoke screens.
Shida ni kwamba 80% of the population in any country are dumb people.No matter how much u alert them,they will get scammed either way.It is sad Ontario will scam these motherf**ckers again no matter how much we peak here.He scammed stupids on FOREX and now he will scam your ugly asses again.
Mtu ambae hajui hizi habari anazoongea Ontario(ignorants) will view this as a ground breaking information and then you will be gravitating to cryptocurrency scams.Shida ni kwamba many dump people do not know the ins and outs of cryptocurrency scams.The 80% of stupid people here will be trapped,and thats good for them to learn a lesson or two!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bwanah bwanaaahEti wafanye yote washindwe kugundua dawa ya vvu aisee hawa jamaa ni minafiki namba moja ulimwengun !!
Duuh kuna watu mmebarikiwa kwa uchambuzi..
Big up mkuu..
Jamaa na mbwembwe zake zote pamoja na matusi yake kumbe anatukana kwa vitu vya kusimuliwa na dump people. Nimekuja kugundua na yeye ni dump people baada ya comment yake anayosema Ontario anamiliki software ya kuwaibia watuHa ha ha ha ha et platform ya ontario kwa hiyo jamaa ana miliki platform sasa!!??
Hapa ndo utaona kua maboya wengi wanao mmaindi mwana ni wapuuzi kama ww so come again ontario ana trading platform au siooo just name it tuijui ni ipi??
Ngoja nijizuiee kuchekaaa ....Mzee baba pole sana.. Kwenye fb yangu nimelike page inayoonyesha technologia za marekani na moja kati ya video niliyoona ni ya nyumba kufyatulia kwa dakika mbili tu tayari nyumba mtu unaishi. Nyumba ile niliyoona inafanana kabsa na aina ya nyumba aliyoonyesha bwana Ontario ya 3D tofauti ni ukubwa, ile niliyoona ilikuwa ndogo na hii aliyopost ni kubwa. Sasa kivumbi na jasho ni aina ya mashine inayofyatua hizo nyumba. Unaweza kuzani ni komplex type of mashine na kwamba ni likubwa kuzidi hata nyumba yenyewe. But ukweri ni kwamba mashine yenyewe imekaa kama muundo wa peni ila kubwa kuzidi peni na inakontoroliwa na mtu mmoja anakuwa kama vile anachora nyumba, ule wino unaotoka kwenye ile peni ndo ukuta wa nyumba unajengwa kiivyo. Ludi tena angalia hyo picha ya hyo nyumba ya 3D utaona ukuta na paa vinafanana.
Mzee baba the future is exiting, ukotayari? Nyumba inajengwa na mtu mmoja ndani ya dakika mbili[emoji4] [emoji4]
Avatar yako hutakiwi kuzungumzia kabisa papuchi,maana huyo mwenye picha alikufa bikra!!...Respect to Nikola TeslaMi huko mbele ntakua printer wa papuchi ...
Sasa nikasome mara ya ngapi mkuu?
Forex haina uhusiano na ponzi scheme, na niliukuuliza kama unajua maana ya ponzi scheme ukaishia kutoa hoja mfu!
Sasa hebu niambie kwanini unasema forex ni ponzi scheme?
Hapana alkua anakula wirelessly believe me !!Avatar yako hutakiwi kuzungumzia kabisa papuchi,maana huyo mwenye picha alikufa bikra!!...Respect to Nikola Tesla
Humu Jf kuna baadhi ya id ukiwa na kichwa kizuri utagundua kabisa ni taasisi za watu na wako kwa malengo fulani, mwenye macho haambiwi tazama... ukicheza waweza jikuta kwenye mikono ya wasiojulikana [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23]
Amekopi wapi tena? Manake amepatia sana. Nikasema huyu kweli mangi tena tarakea moja si kwa uelewa ule was biashara.Huyo nae kilaza ame copy
Nami nimeshangaa kwa kweli...kucopy tenaAmekopi wapi tena? Manake amepatia sana. Nikasema huyu kweli mangi tena tarakea moja si kwa uelewa ule was biashara.
Smart person hawezi kufanya mambo ya underground ya kula papuchi,siku hizi watu wote makini wameacha ngono kabisa..wanazaa watoto kwa njia ya sindano au maabala..going against natureHapana alkua anakula wirelessly believe me !!
Hivi na huyu Kamanda wa jeshi la marekani Mattis (Mad Dog ) nae hana historia ya mahusiano ya kingono au kuoa ?Avatar yako hutakiwi kuzungumzia kabisa papuchi,maana huyo mwenye picha alikufa bikra!!...Respect to Nikola Tesla
Ngoja ni subscribe huu uzii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana alkua anakula wirelessly believe me !!
Hahaha ndugu nikubalie tuu Tesla ndo ... Aah Mkuu ningeeleza mengi sema naogopa .. Nsiharbu Uzi wa nduguSmart person hawezi kufanya mambo ya underground ya kula papuchi,siku hizi watu wote makini wameacha ngono kabisa..wanazaa watoto kwa njia ya sindano au maabala..going against nature
Basi anzisha uzi wa Nikola Tesla,maana naamini wafuasi wake tuko wengi humu...mimi mwenyewe mnazi wa nikolaHahaha ndugu nikubalie tuu Tesla ndo ... Aah Mkuu ningeeleza mengi sema naogopa .. Nsiharbu Uzi wa ndugu