Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Eti wafanye yote washindwe kugundua dawa ya vvu aisee hawa jamaa ni minafiki namba moja ulimwengun !!
AIDS ni laboratory engineered disease. Wameutengeneza wao kwa lengo flani.

Kwao sio tishio sana kama ilivyo Africa, ndio maana hawahangaiki kihivyo.

Hapa ndipo utakapo jua kua the future won't be romantic to most people, particularly Africans!
 
Karma kuna kitu siwezi kukibishia ni tekinologia.maana africa tupo nyuma sana.huwa napenda kuangalia chanel ya national geo kipindi future world mengi anayoelezea ontarios unaweza yaona.kwa kusimuliwa utaona ni ndoto tu.ila natumaini muda utatupa majibu
 
Mzee uwe unatumia akili...

Nani amuonee wivu?Nani anamjua in a personal level mpaka amuonee wivu?

Uelewe kua jamaa ni proven scammer!That you cant refute!

Mbwembwe za kutoa makala za kuelezea AI na futuristic innovations ambazo ni public knowledge sio issue hata kidogo.

Mada zimemzidi nani IQ?Unawajua watu wote humu na level zao academically mpaka wasiwe capable kuelewa story kama hizi?Sidhani kama unanielewa hata kidogo..Ni ujinga wa hali ya juu kama unadhani mtu kujua story za kitu katika end user perspective ndio IQ,tatizo lenu mtakua mangwini user/front-end perspective knowledge ndio mnadhani ndio kujua kila kitu.Thats cute,sasa mje na nondo za back-end,from ground up engineering transformation atom-to-atom of a product mpaka upate final user-ready product.Tufanye mfano mmoja tu wa teleportation system,walao tu-discuss possible engineering modellings which can possibly perform in real life conditions. Shida za gwini ndio hizi,akishajua habari ya kitu au technology on the surface anajua watu wengine wote wapumbavu.It is so sad.

Mimi nilikua mkali pale ninapoona,a known scammer Ontario is coming back again with some stupid washed-up articles trying to organize another group of fools to scam again.His real target ni cryptocurrency selling,the other paragraphs are just smoke screens.

Shida ni kwamba 80% of the population in any country are dumb people.No matter how much u alert them,they will get scammed either way.It is sad Ontario will scam these motherf**ckers again no matter how much we peak here.He scammed stupids on FOREX and now he will scam your ugly asses again.

Mtu ambae hajui hizi habari anazoongea Ontario(ignorants) will view this as a ground breaking information and then you will be gravitating to cryptocurrency scams.Shida ni kwamba many dump people do not know the ins and outs of cryptocurrency scams.The 80% of stupid people here will be trapped,and thats good for them to learn a lesson or two!
Ndo maana mimi niliuita mkusanyiko wa habari. Tatizo sisi waTz hatutafuti mambo vifaa vyetu kama simu , kompyuta na tablet hatuvitumii inavyotakiwa. Haya mambo yapo siku nyingi mitandaoni. Alichofanya Jeff ni kutafsiri na mpangilio wa story. Pia amewasaidia wengine ambao hawakufahamu hizi mambo.

Kuhusu yeyekuanzisha kituo cha kumine bitcoins, kwa maelezo yako una maanisha anapima upepo wa watu? Inamaana anao wa mentor ktk forex anawabadilishia njia ? Au watafanya vyote viwili?
Mi nafkiri Jeff mwenyewe ndo mwenye majibu. Pia alisema atarudi kutoa conclusion yake. Inabidi afafanue. Na kuhusu yeye kuwa scamer atoe maelezo, uongo ukisemwa sana unajulikana kuwa kweli.
Moja ya sifa ya JF ni kupingana mawazo hakuna haja ya kutukanana. Tupingane kwa staha, shukrani.
 
Ha ha ha ha ha et platform ya ontario kwa hiyo jamaa ana miliki platform sasa!!??


Hapa ndo utaona kua maboya wengi wanao mmaindi mwana ni wapuuzi kama ww so come again ontario ana trading platform au siooo just name it tuijui ni ipi??
Jamaa na mbwembwe zake zote pamoja na matusi yake kumbe anatukana kwa vitu vya kusimuliwa na dump people. Nimekuja kugundua na yeye ni dump people baada ya comment yake anayosema Ontario anamiliki software ya kuwaibia watu
 
Mzee baba pole sana.. Kwenye fb yangu nimelike page inayoonyesha technologia za marekani na moja kati ya video niliyoona ni ya nyumba kufyatulia kwa dakika mbili tu tayari nyumba mtu unaishi. Nyumba ile niliyoona inafanana kabsa na aina ya nyumba aliyoonyesha bwana Ontario ya 3D tofauti ni ukubwa, ile niliyoona ilikuwa ndogo na hii aliyopost ni kubwa. Sasa kivumbi na jasho ni aina ya mashine inayofyatua hizo nyumba. Unaweza kuzani ni komplex type of mashine na kwamba ni likubwa kuzidi hata nyumba yenyewe. But ukweri ni kwamba mashine yenyewe imekaa kama muundo wa peni ila kubwa kuzidi peni na inakontoroliwa na mtu mmoja anakuwa kama vile anachora nyumba, ule wino unaotoka kwenye ile peni ndo ukuta wa nyumba unajengwa kiivyo. Ludi tena angalia hyo picha ya hyo nyumba ya 3D utaona ukuta na paa vinafanana.

Mzee baba the future is exiting, ukotayari? Nyumba inajengwa na mtu mmoja ndani ya dakika mbili[emoji4] [emoji4]
Ngoja nijizuiee kuchekaaa ....
 
Unalipwa sh ngap kumtetea..?
Yeye ni nani asipate upinzani kwenye mada zake..?
Wake up tushajua Idea yake atengeneze wajinga wengi ili akawapige pesa..
Sasa nikasome mara ya ngapi mkuu?

Forex haina uhusiano na ponzi scheme, na niliukuuliza kama unajua maana ya ponzi scheme ukaishia kutoa hoja mfu!

Sasa hebu niambie kwanini unasema forex ni ponzi scheme?
 
[emoji23] [emoji23]
Humu Jf kuna baadhi ya id ukiwa na kichwa kizuri utagundua kabisa ni taasisi za watu na wako kwa malengo fulani, mwenye macho haambiwi tazama... ukicheza waweza jikuta kwenye mikono ya wasiojulikana [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kwasisi mafuturist hizi zote ni taarifa za ukweli na zitawezekana,and I'm sure Elon Musk atakua bilionea ambaye hayajawahi kutokea duniani,maana ana project kubwa na za kisasa.

Ila forex fanyeni kama starehe na siyo kazi,maana mzungu anatoka calfonia anakuja kufuga kuku tanznia,unafikiri calfonia forex haipo?
 
Hapana alkua anakula wirelessly believe me !!
Smart person hawezi kufanya mambo ya underground ya kula papuchi,siku hizi watu wote makini wameacha ngono kabisa..wanazaa watoto kwa njia ya sindano au maabala..going against nature
 
Avatar yako hutakiwi kuzungumzia kabisa papuchi,maana huyo mwenye picha alikufa bikra!!...Respect to Nikola Tesla
Hivi na huyu Kamanda wa jeshi la marekani Mattis (Mad Dog ) nae hana historia ya mahusiano ya kingono au kuoa ?
 
Smart person hawezi kufanya mambo ya underground ya kula papuchi,siku hizi watu wote makini wameacha ngono kabisa..wanazaa watoto kwa njia ya sindano au maabala..going against nature
Hahaha ndugu nikubalie tuu Tesla ndo ... Aah Mkuu ningeeleza mengi sema naogopa .. Nsiharbu Uzi wa ndugu
 
  • Thanks
Reactions: 365
Back
Top Bottom