Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

Katika hoja yako ndefu nimefurahishwa na hii line!

Je kama ontario ni "proven scammer" kwanini usimshitaki ili achukuliwe hatua kama kweli unaamini ulichoandika ni "proven" au ni kitu cha uhakika?

Kama huwezi kumshitaki au kuthibithisha ulichoandika, nikisema una chuki na wivu nitakua nimekosea?
 
Wazungu wamefanya yote hayo ila wameshindwa hiki, sasa kwanini wewe au sisi tusifanye hiki walichoshindwa ili tuwazidi?

Maana nikiangalia kwa umakini ulichoandika hapa ni kama unasema "they did nothing"! tunarudi kule kule kwenye chuki na ubinafsi na wivu uliotujaa watanzania!
 
Mi naweza kusema hii chuki imeanzia juu mpaka chini, yaani kuanzia kwa rais anavyochukia waliofanikiwa mpaka kwa members humu JF! inasikitisha sana kwa kweli, badala ya kujadili mada tuko busy kumjadili jamaa mbaya zaidi watu wanamuita tapeli na wakiambiwa wametapeliwa nini hawana majibu!!!

Ni chuki na roho mbaya na wivu!!
 
Mkuu mimi sio mtu wa matusi, na sifurahishwi kuona mtu anaandika matusi badala ya hoja za msingi!!

Turudi kwenye mada...



Hapo kwenye red;

Kwa hiyo ndugu yangu kwa kusikia maneno ya watu tena unao waita "dumbest people" ndio una muita mwenzako tapeli na mwizi?

Sasa kama ni maneno uliyasikia kutoka kwa "dumbest people" kwanini unasema ni "proven" au kwanini unayaita ni ya uhakika?
 
Back
Top Bottom