godybn2005
Member
- Apr 20, 2009
- 11
- 0
Muzee...YAMETIMIA...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oops!!!! Thanks Hon.Zitto, i advice you mobilize your colleagues (MPs) and compile all important findings about these dirty deals (esp. Meremeta) and submit a private motion (agenda) in the next house sitting.
Well, swali linakuja hata tukijua ndio itakuwa nini? Mbona EPA tunajua na viongozi wetu wameambiwa lakini jibu walilotoa ni kuwa wanajua wahalfu lakini wanawaogopa. Kama hawa wa Meremeta sio ndio itakuwa wanaongopa hata kusema?
Hili ndio lengo haswa. MwanaKijiji ameni inspire sana kwa kweli. Kwamba yeye raia wa kawaida ameweza kutengeneza taarifa hii ambayo sisi wabunge kwa rasilimali tulizonazo tulishindwa kufanya. Nimeamua kumuunga mkono kwa vitendo na kwa kweli inalipa kweli maana taarifa mpya tulizopata ni shehena!
Fedha zetu zote zipo Mauritius..............................
Nedcor Trade Services Ltd - Mauritius
:: General Information :: Products/Services :: Related Organisations :: Contact Information
:: Update :: Upgrade
General Information
Organisation Type/Location: Company in Mauritius Registration No.: 20425/4243 Find Related: [ News Items | Pages | Companies or Organisations ]
:: Update :: Upgrade
Products/Services
There are currently no products or services associated with this directory entry.
:: Update :: Upgrade
Related Organisations
is owned by: Nedbank Group Limited - Sandton, Johannesburg, South Africa
is owned by: Women Investment Portfolio Holdings Ltd - Sandton, Johannesburg, South Africa
Hawa ndio wana siri zote za nani kapata nini? MwanaKijiji andaa Review ya pili...! Tutafikia ukweli tukiwa HAI, Inshaallah
EPA ni wizi wa kawaida wa Benki. MEREMETA ni wizi wa heshima ya Taifa letu. MEREMETA inaweza kuangusha serikali. MEREMETA inahusu Tanzania mbele ya jamii ya Kimataifa. MEREMETA undoes our history in the struggle for liberation in Africa. EPA is them, MEREMETA is US
Well, swali linakuja hata tukijua ndio itakuwa nini? Mbona EPA tunajua na viongozi wetu wameambiwa lakini jibu walilotoa ni kuwa wanajua wahalfu lakini wanawaogopa. Kama hawa wa Meremeta sio ndio itakuwa wanaongopa hata kusema?
Mapambazuko yanaanza na jua kuchomoza kwa mbali sana. Kwa waliokuwepo, au kusoma historia ya uhuru wetu au wa nchi yeyeto ile mambo yalianza pole pole kabla ya vita yenyewe.Well, swali linakuja hata tukijua ndio itakuwa nini? Mbona EPA tunajua na viongozi wetu wameambiwa lakini jibu walilotoa ni kuwa wanajua wahalfu lakini wanawaogopa. Kama hawa wa Meremeta sio ndio itakuwa wanaongopa hata kusema?
Na hasa ikichukuliwa kuwa hata watumishi wa umma wanapokuwa na kesi au tuhuma usimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi? Sasa hawa walio na tuhuma na kesi mahakamani kwa nini wanaendelea kuruhusiwa kukaa bungeni?Hongereni wote mnaohangaika usiku na mchana kumkomboa Mtanzania.
Mh. Zitto pole na kazi za kila siku. najua unamajukumu mengi.
Leo nina swali dogo kuhusu wizi huu unaoendeshwa na serikali yetu kupitia njia na watu mbalimbali kiini kikiwa ni ikulu.
Je Bunge lina nafasi gani katika kupambana na uhalifu na wizi wa mali za wananchi hasa pale serikali inapokataa kutekeleza maamuzi ya Bunge, rejea Richmond saga.
Je bunge linaweza kutoa maamuzi ya kufikishwa wahalifu mahakamani bila ya serilikali kuhusishwa.
Na ni kwanini Bunge katika maamuzi yake lisitunge sheria au kuzisimamia sheria zinazotaka kila anayechunguzwa kutoka kwenye kazi husika ili achunguzwe bila longo longo nyingi.
Mfano, ilikuwaje bunge mkakubali uchunguzi wa Richmond uendelee kwa upande wa serikali bila kushinikiza wale wote wanaochunguzwa kutoka kwenye nafasi husika? hata kabla ya wabunge kusomewa taarifa ile ya Richmond bungeni ni wazi wahusika wasingeweza kujinyonga wenyewe?
Pili kama hatuna mfumo ulio imara wa uchunguzi hasa kwa wale wanaotuhumiwa kuchunguzwa na vyombo huru, ni vipi tutafikia na kuweza uchunguzi wa Meremeta ambao ni wizi uliohusisha serikali na vitengo nyeti kama usalama wa taifa, jeshi, na ikulu?
Na je sheria za bunge zinasemaje kwa wabunge waliohusishwa na makosa ya jinai pamaoja na rushwa kuendelea kuwepo bungeni, je maadili ya bunge ni nini? Je ni vipi kuwa na wabunge watuhumiwa wengi kuliko wahalifu mitaani kwa asilimia? Je bunge linajenga picha gani machoni kwa jamii na watoto