Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Anajali basi... ashawazoea miaka yote huwa ana post wanamseeema lkn haachi. Mbwa ukimjua jina hakusumbui.

Sisi tumepokea wishes zake maana ndo zinatuhusu na sisi tunamuombea Kristo azaliwe ndani yake. Sema amina
Yeah, mtoa uzi labda hajui kuwa kupost hivyo ni hulka ha Mo Salah kila mwaka kipindi kama hiki... Huwa hajali hizo comments za waislamu radicals. Nadhani anataka kufikisha ujumbe kuwa 'hapangiwi'.
 
Mshambuliaji hatari wa Liverpool Mo Salah amejikuta akipata Comments za kuitwa Msaliti na mtu asiyejua miiko ya Dini ya Kiislamu baada ya kutuma Picha kwenye Mtandao wa kijamii kuwatakia Wafuasi wao heri ya siku tukufu ya Krismasi ambapo wengi wameonekana kutokufurahia kitendo cha Salah kuweka picha hiyo wakati Salah ni Muislaamu. N:B Tusiwe mateka wa Dini ndugu zangu.
 

Attachments

  • 20221225_112955.jpg
    183.5 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…