Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Commune ya Stavanger Norway ilishangaa sana. Ilijitolea kuwanunulia jengo Waislamu. Sheikh wa hapo eti akataa. Sheikh ni asili ya Ghana lakini ana uraia wa Norway.

Eti alikataa hawakubali michango ba pesa za mashoga na walevi. Hadi Waislamu wengine walimmaindi.

Kinachohuzunisha huto Sheikh anapokea hela za serikali social watoto wake wote na wajukuu wanasoma norway bure. Nyumba anayoishi ni social wanamjengea.
 
Mo atatengwa soon
Screenshot_2022_1225_114936.jpg
 
Mshambuliaji hatari wa Liverpool Mo Salah amejikuta akipata Comments za kuitwa Msaliti na mtu asiyejua miiko ya Dini ya Kiislamu baada ya kutuma Picha kwenye Mtandao wa kijamii kuwatakia Wafuasi wao heri ya siku tukufu ya Krismasi ambapo wengi wameonekana kutokufurahia kitendo cha Salah kuweka picha hiyo wakati Salah ni Muislaamu. N:B Tusiwe mateka wa Dini ndugu zangu.
Sasa wanamponda kwa hilo, wakati bosi wake aliemuajiri huko Ulaya na kumpa mshahara mnono ni mkristo na anagonga kitimoto mbona hawamwambii aache...
 
Kwanza polen Sana kwa kuteseka na Uislamu, hakika Uislamu ni Vita kuu ya tatu ya dunia.

Je msingi wa kupinga kushiriki siku hii ni upi?

Ni itikadi kuwa Leo amezaliwa Mungu,tatizo liko hapo Lau ingekuwa Leo kazaliwa Nabii Yesu kusingekuwa na shida,kwasababu Yesu kwetu ni Mtume wa Allah na tunampenda Sana kwasababu itikadi ya kiislamu ni kumuamini Mungu Mmoja,kuamini Malaika wake,kuamini Vitabu vyake na kuamini Mitume wake akiwepo Yesu.

Nadhani mpaka hapo mmepata picha nazungumzia nini hapa.

Sasa baadhi ya waislamu huenda wanasahau juu ya Imani Yao na mafundisho Yao au huenda wanafanya ili kuwafurahisha watu fulani,lakini hatakiwi kuogopwa kiumbe chochote au kufurahishwa kiumbe chochote linapo kuja swala la Imani isipokuwa Mola WA Viumbe wote.

Kwahiyo naomba tuelewe hili,na tuvumiliane , mtuache na itikadi yetu na nyinyi sheherekeeni kuzaliwa kwa Yesu mwokozi wenu.

Kukua ni kukubaliana kutokukubaliana,Maisha ni rahisi Sana kama ukiwa open minded

Msiteseke hata kidogo.

Nawapenda Sana.
 
Back
Top Bottom