Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

Nimependa ujumbe kwenye picha ya Mo Salah and family, nimetamani tungekuwa tunaishi hivi na waislamu wote. Inapendeza.
JamiiForums1447268932.jpg
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Tumechoshwa na post za Uchochezi wa DINI!
Kama umekosa cha kupost si uache tu!
 
Kwanza sio waislam tu ambao hawataki kusikia kitu kinacho itwa krismas hata baadhi ya wakristo wenzenu wana ipinga mfano ni wasabato na waothodoxs.

Kwa mjibu wa uislamu hakuna kitu kinacho itwa krismas ila kwa sababu jamii yetu ni jamii mchanganyiko wa dini hasa uislamu na ukristo ni vyema kufumbia macho baadhi ya mambo ili maisha yaende ,ila ukifuata maandiko ya dini hii sikukuu muislam haruhusiwi kuihusudu kwa namna yeyote ile.
 
Tumechoshwa na post za Uchochezi wa DINI!
Kama umekosa cha kupost si uache tu!
Zikiwa zina kosoa dini fulani zinalindwa na mods ila zikiwa zinakosoa dini yao zina futwa mara moja, ebu tuone hu kama utafutwa.....
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Moja ya Sababu uisilamu upo vile vile haujabadilishwa mpaka leo ni hio, Jamaa yupo wrong na waisilamu wengine wana haki ya kumuambia kama amekosea
 
Christmass asili yake ni sikukuu ya kipagani, haimo kwenye bible na wala Yesu hajawahi kuisherehekea.

Mashabiki wako sahihi kumrudisha katika njia sahihi.

Kwenye uislamu ukipotea njia unakumbushwa, na hapo Mo Salaa anakumbushwa!
Unamkumbusha Nani wakati dini inaletwa mlikuwa mnavaa majani.......wewe sema kama babu Yako alikuwa anajifunga Jani lipi la mpera au mgomba watu wajue
 
Hapana uislamu ulianzia abbysinia Africa kupindi cha mtume mwenyewe hata kabla ya Egypt Syria Iraq nk.
Nimesha kwambia uislamu ilikuja ukakuta waarabu wana dini zao za kuabudu masanamu ina maana hata wao huo uislamu waliupokea kama sisi tulivyo upokea ,masuala ya kusema sijui waarabu ndo wenye uislam ni ufinyu wa akili na ni hoja zinazo kuzwa na wapumbavu.

Na unacho takiwa kujua ni kuwa waarabu ni asilimia 20 tu ya waislam ulimwenguni.
 
Uislam ndo ulivyo ni haram kusherehekea Christmas na hata mwaka mpya huu wa kesho kutwa.
Hiyo ndo Iman ilivyo hakuna kitakacho weza kubadilisha Imani ya waislam usipokubaliana na hiyo hali utaumia hadi siku unaingia kaburin ila hutawahi kuona wakipenda labda kwa wachache ambao wamekiuka mafundisho.

Ni kama ilivyo kwa wakristo ambao hawasherehekei siku ya Eid
 
Nimesha kwambia uislamu ilikuja ukakuta waarabu wana dini zao za kuabudu masanamu ina maana hata wao huo uislamu waliupokea kama sisi tulivyo upokea ,masuala ya kusema sijui waarabu ndo wenye uislam ni ufinyu wa akili na ni hoja zinazo kuzwa na wapumbavu.

Na unacho takiwa kujua ni kuwa waarabu ni asilimia 20 tu ya waislam ulimwenguni.

Je Uislamu ulikuja lini duniani? Na ulishukia wapi ?
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? 😳😳😳

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Punguza makasiriko bwashee
 
Aliyewahi kuwa mchezaji wa AC Milan na timu ya Taifa ya Brazil Legendali Kaka amesema,

Waislam ni Jamii yenye amani,Fadhila,Ukarimu na wenye Utu na wala hawamshambulii mtu yeyote bila sababu.

Kaka amedai Ulaya na nchi za Magharibi wanadanganya uma na kutumia propaganda wakitoa habari bandia.

Amesema hili ni Toleo bora la Kombe la Dunia nililohudhuria katika Maisha yangu kwa Masharti,Sheria na mpaka mapokezi.

Kwangu mimi Uislam nimeona unafundisha upendo,wema na Ukarimu. Amesema hivo Kaka..
 
Ndugu zangu hivi hawa jamaa huwa zipo vizuri kweli vichwani mwao?

Baada ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Misri na Liverpool ya wingereza Mohammed Salha kuposti picha katika mtandao wa instagram.

Akisherekea sikuku ya Christmas yeye pamoja na familia yake, ajabu hawa ndugu zetu wamemshambulia kana kwamba amefanya kosa kubwa kwa mujibu wa dini yao.

Ndugu zetu nyie waislamu nyie jamaa mna roho mbaya, hivi nyie ni pepo ya wapi mtaiona? [emoji15][emoji15][emoji15]

View attachment 2457743

View attachment 2457739

View attachment 2457740

View attachment 2457742
Kama Wakristo wangekuwa na roho mbaya na ya kisasi kama waislamu, dunia ingekuwa imejaa mchafuko kila mahali. Sijui hawa wanaitarajia pepo ya nani maana wanayofanya na kuyaamini hayana punje ya upendo anaoutaka Mungu kati yetu.

Anyway, Waislamu wao kwa wao hawapendani, wanachinjana kila siku (Angalia mifano Mashariki ya kati). Vurugu na chuki ndio mafundisho yao. Hivyo tusitarajie watawapenda wasio waislamu!
 
Back
Top Bottom